Man United na Yanga ndugu moja, Arsenal mjomba wao

dogoodesign

Member
Oct 21, 2019
41
21
Man United, Yanga na Arsenal ni timu nguli katika nchi zao lakini zinapitia kipindi kigumu katika historia za timu zao

Yanga SC
Ndiyo timu kubwa na kongwe tanzania ,timu yenye mashabiki wengi tanzania na pia timu yenye makombe mengi tanzania ukilinganisha na timu zote lakini miaka ya karibuni wamekua wakipoteana mwaka ad mwaka. mwaka huu wanashuka daraja na kwa yanga ile hawarud ligi kuu kabisa.

Manchester United

Pia hii ni klabu kubwa duniani , klabu yenye pesa mingi duniani lakini hayo yote hayajasaidia kuokoa jahazi lao lisizame kwa hali ilivo tete nahisi wanaweza kushuka daraja. saivi wako level moja na timu kama crystal palace na newcastle hawatishi tena.

Arsenal
Klabu kubwa pia duniani lakin sijawai kuwaelewa hawa jamaaa sometims unaweza sema timu yao nzuri lakni wanachofanya kama mwadui tu hamna tofauti. nadhan hii ndo timu dhaifu zaidi katika timu kubwa kongwe.
 
Hivi wejamaa unaakili kweli.we unatuwekaje man u hapo na hizo takataka.we so bure utakua unafilauniwa.
 
Kwamba zitashuka daraja? Naona umeandika kimahaba sana, hakuna timi itakayoshuka daraja
 
Man United, Yanga na Arsenal ni timu nguli katika nchi zao lakini zinapitia kipindi kigumu katika historia za timu zao

Yanga SC
Ndiyo timu kubwa na kongwe tanzania ,timu yenye mashabiki wengi tanzania na pia timu yenye makombe mengi tanzania ukilinganisha na timu zote lakini miaka ya karibuni wamekua wakipoteana mwaka ad mwaka. mwaka huu wanashuka daraja na kwa yanga ile hawarud ligi kuu kabisa.

Manchester United

Pia hii ni klabu kubwa duniani , klabu yenye pesa mingi duniani lakini hayo yote hayajasaidia kuokoa jahazi lao lisizame kwa hali ilivo tete nahisi wanaweza kushuka daraja. saivi wako level moja na timu kama crystal palace na newcastle hawatishi tena.

Arsenal
Klabu kubwa pia duniani lakin sijawai kuwaelewa hawa jamaaa sometims unaweza sema timu yao nzuri lakni wanachofanya kama mwadui tu hamna tofauti. nadhan hii ndo timu dhaifu zaidi katika timu kubwa kongwe.
Unai ndiye aliye dhaifu bhana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom