Wabobezi wa soka naombeni majibu hapa

Matanga

JF-Expert Member
Nov 13, 2019
2,281
3,973
MADA

Mchezaji Akifunga Goli Kisha Akashangilia Kwa Kuvua Jezi Halafu Akapata Kadi Ya Njano Ila Baada Ya Muda Goli Likakataliwa Kwa Sheria Ya VAR,

Je Ile Kadi Ya Njano Inafutwa Au Inabaki?

KARIBUNI SANA TUJADILI KWA PAMOJA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadi haitokani na kufunga goli, bali kuvua jezi. Hata bila goli ukivua jezi ni kadi tu.
 
naongeza swali

mpira uliotoka nje na ukarushwa kwa mkono na ukaingia moja kwa moja hadi golini, hapo ni goli au.?
 
Wewe kuna mambo yanakusumbua,,,,moja ulikosa malezi yaliyo bora,,,umasikini,,,umekulia uswahilini,,,unaujinga wa asili,,,bado mdogo,,,bado unaish kwenu,,,kiwango chako cha elimu kidogo,,,unaishi nyumba ya urith,,,unatumia bangi&pombe au unastress za maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom