VAR inaleta utata na kuacha maswali mengi sana

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
VAR inaleta utata na kuacha maswali mengi sana pamoja na kwamba liverpool wana timu bora na wanatakiwa kuwa mabigwa ila wanabebwa sana na VAR angalia mechi yao inayoendelea. duh.
 
acha kabisa mkuu gori la Liverpool LA kushika na mikono limefutwa gori LA mbwa mwitu mtu kazidi kidore kimoja cha mkono Tena bora Ata ingekuwa mguu limefutwa
Toka ligi ianze hakuna magoli yaliyofungwa na liver VAR ikayakataa na yakafutwa?
 
Back
Top Bottom