Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habar: simba na motibwa zimefanikiwa kutinga fainaly baada kuzitoa azam ya yanga Nn maoni yako mdau Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Aman iwe nanyi wakuu Kuna shabiki wa simba anahojiwa na azam tv mda huu kuelekea mchezo wa simba na azam Aisee huyu ni bingwa wa mambumbu Ni mbumbumbu namba moja Hakika aden lage hakukosea...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Miongoni mwa visa wa watani wa Jadi ni kuchuana kunasa saini za wachezaji wanaotamba kwenye vilabu mbalimbali nje na ndani ya Tanzania. Kuna wachezaji kadhaa ambao walilipiwa ticket za Ndege...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kamwene wadau wangu wangu wa JF. Kuna riwaya moja ipo pale Form Five na Six inaitwa Vuta N'kuvute ebhana ni moja ya love story iliyojaa ufundi mkubwa sana wa sanaa ya uandishi. Kwa wale walosoma...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Mshambuliaji wa kimataifa wa taifa Stars na KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta yumo kwenye orodha ya wachezaji wanaotakiwa kusajiliwa na timu ya Middlesbrough ya Uingereza mwezi ujao. Meneja wa...
8 Reactions
52 Replies
13K Views
Klabu ya Yanga ikifanya kazi karibu na mdhamini wake GSM imemtangaza kocha Luc Eymail kuwa kucha mkuu atakaechukua mikoba ya mwinyi Zahera Luc anauzoefu na soka la Africa na akiwa ametwaa mataji...
3 Reactions
40 Replies
7K Views
Hii mechi ya jana kwa ile penati yenye utata vile. 1. Ingekuwa imetolewa upande wa Yanga ungeshuhudia viti vyote uwanjani vinavyong'olewa. Hapo ndiyo utashuhudia mashabiki wa Yanga ni...
17 Reactions
35 Replies
4K Views
Mbona nimejaribu kuangalia ratiba ya supersports 207 ya mechi hii sijaona hii game please mwenye kujua atuambie
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mulumba Ndaye akiwa ameshika jezi ya zamani ya timu ya taifa ya Zaire pamoja na Abed Pele kushoto na Danny Jordan kulia mwaka 2010 Mchezaji Mpira wa DR Congo Mulumba Ndaye amefariki dunia huko...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Huyu mwamba alikuwa anaujua sana hasa anapocheza dimba la chini. Alicheza vizuri sana, cha kushangaza aliondoka baada ya msimu mmoja tu, je nini sababu iliyomfanya Mzimbabwe yule kukaa kwa muda...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Mechi hii iliyofanyika Jumamosi ilikuwa na matukio mengi ya uwanjani na nje ya uwanja lakini wakati washabiki wengi wakijikita kwenye mjadala wa penati ya Kagere kama ni halali au siyo halali na...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Yanga wakati wa kumuuza Msuva 2017 Difaa El Jadida walishauriwa na meneja wa Msuva wamuuze dola 80,000 (Tsh mil 180) ili waweke kipengele cha kupata mgao akiuzwa kwingine (Benfica) ila walikataa...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Direct to the point Leo ndio tuzo zile kubwa za kuwatunuku wanasoka Bora wa Africa. Ndani ya nyumba namuona mnyama kutoka Tanzania kipande Cha Madale Diamond himself ambaye Leo atatumbuiza kwenye...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Goli la penati halikuwa sahihi Meddie Kagere alivutwa nje boksi akadondokea ndani ya boksi,hapa refa aliyumba. 2. Yondani alistahili kadi nyekundu kwa kosa la kumvuta Meddie Kagere nje ya...
6 Reactions
39 Replies
7K Views
Golikipa wa klabu ya Simba Sports Club kutoka mtaa wa Msimbazi na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Aishi Manula, amefunga ndoa leo Jumamosi Januari 6, 2018 huko kwao Mkamba, Morogoro. Kwa...
5 Reactions
28 Replies
11K Views
Bila wasiwasi nyumbu leo anaukalia 5 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Ndio mwendo huo. ==== Malkia Strikers players celebrate a point during their Olympics qualifier against Botswana at Palais polyvalent des sports (Paposy) Arena in Yaoundé on January 6, 2020...
1 Reactions
2 Replies
981 Views
Klabu ya El Jadida ikiwa nchini Hispania wakicheza michezo mbali mbali ya kujipima nguvu.
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari!Nimekutana na jamaa mtandaoni anasema anauza matokeo ya mechi zilizonunuliwa,yani kuna mechi matokeo yake yanafamahika kabla hazijaingia uwanjani naskiaga hii kitu ipo kwa wenzetu wa nchi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Niko najipongeza na droo sio kwa bahati mbaya ni hela ya mhindi kalia. Kama mtu amekasirika ajitokeze ajifanye kama anajikuna Umejiuliza Yondan alijuaje jamaa Kagere kavaa bima ya afya uwanjani...
4 Reactions
55 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…