Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Posted at 19:2719:27 GOAL - Bournemouth 2-1 Aston Villa Mbwana Samatta (70 mins) GAME ON! It is that man Mbwana Samatta on his Premier League debut. A real poacher's instinct from the Tanzania...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Em assume umemkataa mtoto akiwa mdogo halafu unakuja kujua mtoto mwenyewe ni Samatta Tiririka!!
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Team kali ya simba inadaiwa kuwahonga wachezaji Ally ally na Raphael daudi Noah za milioni 10 kila mmoja ili wakatae kwenda kwa mkopo katika team wasizozitaka walizokuwa wanalazimishwa na team...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
*Manchester United inajiandaa kumuuza Pogba!?* Kwa akili ya kawaida unaweza ukaonekana mwehu unaposema Manchester United imeanza kujiandaa kuishi bila kiungo wake ghali muite Poul Pogba. Ni...
1 Reactions
0 Replies
849 Views
Sasa ndiyo tumeona busara ya Mo kumteua Makonda kuwa Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba. Najua wana Simba wenzake wakifadhaika sana na uteuzi huo. Hili la kupigwa marufuku kwenda Marekani kwa sababu ya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimetazama kwa umakini mkubwa na kwa utulivu gori la Kagere,nimejiridhisha kuwa Kagere alikuwa onside. Tazama wakati Shibob anapiga kichwa huku beki alikuwa amemkaba Kagere akimchomoka...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nchimbi taratibu kaanza kupotea pale Yanga. Alipokua Njombe mji Nchimbi alikua akiibeba timu mabegani mwake. Azam wakamtamani wakamsajili. Hakuna alichokifanya pale Azam complex hadi wakaamua...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkataba wako MO Dewji na klabu ya Simba haukuhusisha kutuletea kwenye timu watu upendao/wanaokushinikiza ili wawe sehemu ya timu. Huwezi kumleta Paulo Makonda ndani ya timu yetu hata kidogo...
10 Reactions
72 Replies
8K Views
Je makosa ya waamuzi huwa yanatokea kwenye match za Simba tu? Tumeona makosa ya waaamuzi yakitokea kwenye match za Simba na malalamiko huwa ni Simba wamewalipa marefa... Je malalamiko kwenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Soka la Bongo hili Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Naishangaa sana hii TFF, Yanga ndio timu yenye viporo vingi kwenye ligi kwasasa lakini cha kushangaza timu ambazo hazina viporo kama Simaba anacheza leo na Namungo then Jumamosi anacheza tena...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
RC Paul Makonda: "Kuna jambo nimelibaini nilipokwenda Misri, ipo ofisi moja iliyochangisha fedha kwa ajili ya Taifa Stars lakini wakazitumia kwa matumizi yao na wengine kutumia kwa shughuli za...
3 Reactions
74 Replies
7K Views
Niliwahi kusema hapa hapa kuwa kwa Tanzania ya sasa hakuna na sijaona Kiungo bora wa nyuma kama Mdogo wangu mwenye wa Kinondoni Biafra na Muslim Jonas Gerald Mkude ambaye Mimi hupenda Kumuita na...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Samatta uwanjani, kesho nitashare live stream kwaajili ya wale wanaotaka kistream ili kuchek ball. Tujuane mapema. Kizuri share na mtanzania Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
3 Replies
621 Views
EDIBILY JONAS LUNYAMILA RASHFORD ALIEZALIWA SHINYANGA ‌Rashfoooord ........he scored his dream goal he was looking for and maybe he will never ever forget .......ilikuwa ni saut ya mtangazaji wa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa nini Yanga hawalalamiki sasa hivi kama wanaona ratiba imepangwa na wao hawamo? Kwa nini wanasubiri bodi yenyewe ishituke ndio waanze kuja na hisia eti watapangiwa mechi za karibu karibu...
5 Reactions
9 Replies
4K Views
Simba hasa Mo na Manara wawe makini takukuru wapo kazini maswala ya kuonga waamuzi muache tuna mchongo wote wa kuhonga mechi. Acheni iyo tabia chezeni mpira uonekane. takukuru itawashughulikia...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Akizungumza na Moja ya Wahariri wazuri wa soka, Muhariri huyu ametanabaisha kuwa. Yanga wameamua kupambana na Simba nje ya uwanja kuliko uwanjani. Na wameamua hawataki tena kuzungumzia ubora wa...
2 Reactions
3 Replies
43K Views
"Kiukweli mimi na vijana wangu tulipitiwa (kuwasahau) kuwapangia Yanga SC mchezo toka wacheze mchezo wa FA dhidi ya Prisons, Yanga nao walipaswa kutukumbusha kupangiwa mechi" Steven Mguto...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…