Simba Tufungwe Mechi 2 Mfululizo, Salam kwa MO Kutuletea Makonda

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,762
71,146
Mkataba wako MO Dewji na klabu ya Simba haukuhusisha kutuletea kwenye timu watu upendao/wanaokushinikiza ili wawe sehemu ya timu.
Huwezi kumleta Paulo Makonda ndani ya timu yetu hata kidogo. Makonda ana tuhuma nyingi zinazo gusa maisha ya watu jee kama watu wenye mahusiano na walio umizwa kama ni wanachama au washabiki wa Simba wanajisikiaje?
Mtu mwenye mikono michafu juu ya maisha ya watu anasababu gani kuingizwa timu ya Simba? Unataka kuigeuza Simba ionekane sio Klabu ya burudani na michezo bali ya maumivu na mateso kwa watu?
Hatutaki, hatutaki. Kwanza ushauri katika nini atafit kuutoa huyo? Kila jambo anafeli na kuharibu ndio aje Simba?
Sasa bora tuwashawishi wachezaji wapoteze mechi mbili za Alliance na Coastal ili kukuonyesha hatumtaki Bashite. Au kushawishi mechi ya kesho kuzomewa timu kwa jina LA Bashite hadi utakapo tengua maamuzi hayo yenye mrengo wa siasa, maana pengine umelazimishwa tuu kufanya hivyo na Wasiojulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa akubali kumteua au alikishe zile picha akiwa na kanga .
Bashite ni mafioso
 
Mtekwa na mtekwaji ndani ya zizi moja..

Alisikika Tundu Lissu
Hivi bashite na Mo wana urafiki kweli, mbona kama bashite ndiye ......Mo !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, si tushamkabidhi timu ,acha afanye atakavyo muhimu Simba ishinde

Kudadeki pesa madafu ,jamaa anajiamulia, mashabiki tunabaki kupiga kelele la kufanya hakuna

NB : hisa za Mo 49 na Simba wanachama 51

MTC | 101|
 
Siasa imeshaingia Simba. Period...

Hili suala liko well planned ili kumpa RC platform ya kuwa juu kisiasa maana mwaka huu Kuna dalili akagombea ubunge moja ya Jimbo Dar Es Salaam....

ANGALIA HUU MTIRIRIKO;

1. Baada ya Simba kufungwa na mtimbwa sugar na kuondolewa kwenye Mapinduzi cup , Mo anaandika kwenye mitandao yake ya kijamii kuwa anajivua kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Simba na kusema anabaki na nafasi yake ya uwekezaji huku akitumia muda wake kwenye masuala ya MIUNDOMBINU na MAENDELEO YA SOKA LA VIJANA (Someni kwa makini hapo nilipoandika kwa herufi kubwa)

2. Baada ya muda mfupi MO kujivua uenyekiti wa Bodi , Mheshimiwa RC anaandika kwenye mtandao wake wa kijamii kuwa haamini kilichofanywa na mwenyekiti na tumpe muda kidogo.

3. Na kweli kabla ya masaa 24 kutimia tangu mwenyekiti kujizuru. Mohammed Dewji anakuja hadharani anatangaza kuwa yeye ni Simba Damu na maamuzi aliyofanya kulikuwa na makosa sehemu. (Kumbuka mpaka leo hajasema kama amerudi kuwa mwenyekiti wa bodi au lah)

4. Mwenyekiti anamteua Mheshimiwa RC kuwa mshauri wa Bodi ambayo yeye alijiuzuru kutokuwa mwenyekiti wake na mpaka leo hajasema kokote kwamba amekuwa mwenyekiti tena baada ya kujiuzuru...

Ukifuatilia huo mtiririko wote utaona Kuna Kitu nyuma ya pazia , ukizingatia haya Mambo yote yamefanyika almost ndani ya wiki 1. Nina maswali mengi najiuliza ila sitaki niwachoshe , kaeni chini mjiulize. Najua humu kuna Great Thinkers mtakuwa mmeunga Dots na kupata kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba wako MO Dewji na klabu ya Simba haukuhusisha kutuletea kwenye timu watu upendao/wanaokushinikiza ili wawe sehemu ya timu.
Huwezi kumleta Paulo Makonda ndani ya timu yetu hata kidogo. Makonda ana tuhuma nyingi zinazo gusa maisha ya watu jee kama watu wenye mahusiano na walio umizwa kama ni wanachama au washabiki wa Simba wanajisikiaje?
Mtu mwenye mikono michafu juu ya maisha ya watu anasababu gani kuingizwa timu ya Simba? Unataka kuigeuza Simba ionekane sio Klabu ya burudani na michezo bali ya maumivu na mateso kwa watu?
Hatutaki, hatutaki. Kwanza ushauri katika nini atafit kuutoa huyo? Kila jambo anafeli na kuharibu ndio aje Simba?
Sasa bora tuwashawishi wachezaji wapoteze mechi mbili za Alliance na Coastal ili kukuonyesha hatumtaki Bashite. Au kushawishi mechi ya kesho kuzomewa timu kwa jina LA Bashite hadi utakapo tengua maamuzi hayo yenye mrengo wa siasa, maana pengine umelazimishwa tuu kufanya hivyo na Wasiojulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
afadhali na litimu life kabisa. Kamlete muuaji! Alikuwa DDM wakati Lisu anapgwa risasi!
 
Ilikuwa akubali kumteua au alikishe zile picha akiwa na kanga .
Bashite ni mafioso
Kwa hiyo Makonda katishia, niweke kama mshauri au picha nje nje?
Hatumtaki, sasa viwanjani kelele kila Simba ikicheza ni "HATUMTAKI MAKONDA, HATUMTAKI MAKONDA" hadi kieleweke.
IMG_20200118_064204.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
afadhali na litimu life kabisa. Kamlete muuaji! Alikuwa DDM wakati Lisu anapgwa risasi!
Yaani Simba yetu wanaigeuza timu ya wauaji? Hii yote Manara anahusika, lazima mchongo huo umeanzia kwake. Na si unajua kuwa Manara aliwahi kuwa msemaji wa CCM Dar kabla hajafukuzwa kwa wizi na MO keshawahi kuwa mbunge wa CCM akaacha kugombea baada ya kujua Wanyaturu hawataki tena mambo ya kugawiwa sukari kg mojamoja!

Kumbe bado Mo na Manara wanawashwa washwa na U CCM! Mimi Bashite simtaki! Ni mvunjaji mkubwa wa haki za binadamu tanzania!
 
Nafikiri tumlaumu Mo kwa kuteua mtu asiye mtaalamu wa soka kua mshauri wa bodi, tusiingize sababu za kisiasa kwenye soka.
 
Sifurahishwagi na baadhi ya vitendo vya makonda ila katika ili sioni ubaya wowote he is a powerful person atakuza brand ya simba alafu kapewa ushauri mkuu sio member wa board watu mna catch feelings sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kashindwa kukuza brand za mengine ndio aweze Simba? Nyie watu vipi? Wengine tumekuwa na Simba tokea mshamba huyo wa Kolomije hajazaliwa hivyo hatumtaki ebo!
Simba sio ya kuwa na watu wenye mikono iliyojaa damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom