Ronald Koeman (57) ametangazwa kuwa Kocha mpya wa Klabu ya Barcelona ya Uhspania, akipewa mkataba wa miaka miwili na kulazimika kuacha kazi yake ya kuifundisha timu ya Taifa ya Uholanzi
Koeman...
Olympique Lyonnais (officially Olympique lyonnais in French), commonly referred to as simply Lyon (French pronunciation or OL, is a French professional football club based in Lyon in Auvergne it...
UKWELI LAZIMA USEMWE
Simba Vs Yanga
SIMBA
Imeshakamilisha usajili.
Haijaacha hata mchezaji mmoja wa first-eleven ya msimu uliopita.
Kocha amesharejea.
Inaanza maandalizi leo.
YANGA
Inaendelea...
Habarini wanamichezo, aise nikiangalia hiz sajili zinazoendelea kweny hizi timu za watani wa jadi, mimi ni Simba Ila kuna vyuma viwili ndgu zetu wamevitoa AS vita bwana bwana.
Obviously sisi...
Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) kutoka Ufaransa, jana imefanikiwa kuingia fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuifunga Klabu ya RB Leipzig ya Ujerumani goli 3-0
Mchezaji wa PSG...
Habari Wakuu
Naomba kama kuna mtu humu ambae anaweza kuwa na connection na viongozi wa Simba awaambie wasithubutu kumpa jezi no9 mshambuliaji mpya Chris Mugalu kwani ina gundu na ataflop wote...
Wakulungwa tumeshuhudia leo Manchester city akifungashiwa virago na watoto wa ufaransa Olympic Lyon na hivyo kufanya nusu fainali kuzidi kunoga maana wengi tulitegemea Man City leo hii atatinga...
Inter kachapwa 2-1 nyumbani kirahisi na Barcelona iliyojaa watoto katika sehemu kubwa ya mchezo wa leo UEFA. Inter sasa kapigwa ndani nje na Barca.
Hapohapo leo ilikua mechi muhimu sana kwa Inter...
Wadau wa soka salaam,
Iwapo spirit hii ya kuhuisha michezo itaendelea kwa miaka mitano tu ijayo, soka la Africa litahamia Tanzania.
Hawa watoa pesa wasisahau jambo moja muhimu kuwa, ili kuwa...
Kanuni za mashindano ya CAF zinaelekeza kwamba nchi 12 zenye ligi bora barani Afrika, hutoa timu 4 kushiriki mashindano ya CAF; mbili kwenye ligi ya mabingwa na mbili kwenye Kombe la Shirikisho...
Nimeona taarifa ya kuwa Florent Ibengé amethibitishwa kuwa ndiye kocha mkuu wenu. Ningependa kuwapa kongore maana eneo muhimu kwenye timu ni kocha. wengi walikuwa wanawangoja kwa hamu kuona ni...
Habari Wakuu
Jana nilileta hoja ya kulishauri benchi la ufundi la Simba wasimpe Mugalu Jezi namba 9 na kweli nimeona kwenye picha kavaa Kits zenye jezi no7.
Leo tena nna ushauri mwingine juu ya...
Katika kumbukumbu zangu toka nianze kuwa mpenzi na mfuatiliaji wa mpira wa Bongo,sijawahi kushuhudia timu yeyote inayoshiriki kombe au ligi kubwa kukimbia mchezo isipokuwa Yanga
Ilikuwa ni 28...
Bodi ya ligi nchini TPLB leo imetangaza ratiba ya michezo ya ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2020/2021 utakaoshirikisha jumla ya timu 18 huku Raundi ya saba vilabu vya Simba na Yanga...
Kila nabii na zama zake na kila jambo lina mwanzo na mwisho zaidi hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha ndivyo wahenga wanasema hivyo tangu kuwepo kwa dunia wamepita watu mbali mbali walioacha alama...
Wahenga walisema," Mwache muongo akuongoze ili mwishoni aumbuke". GSM Walidhani wanaweza kuendelea na uongo wao. Walidanganya kuhusu kumuongeza mkataba Shishimbi, na Morrison mwisho wameumbuka...