Ushauri kwa benchi la ufundi Simba S.C

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,664
3,180
Habari Wakuu

Jana nilileta hoja ya kulishauri benchi la ufundi la Simba wasimpe Mugalu Jezi namba 9 na kweli nimeona kwenye picha kavaa Kits zenye jezi no7.

Leo tena nna ushauri mwingine juu ya upangaji wa kikosi baada ya hizi sajili mpya.

Ili kuwatumia wote Chama na Bwalya
Inatakiwa team icheze 3 2 3 2

Yaani mabeki 3
Viungo wakabaji 2
Viungo washambulizi 3
Washambuliaji 2

Wakilazimisha kuwapanga wote na fraga kuanzia benchi huyo anaecheza namba sita ambae ni mkude mtaishia kumlaumu bila sababu yaan atazidiwa mwanzo mwisho na lazma alale na viatu

Refer game ya yanga na simba ya 1 bila

Naomba kuwasilisha.
 
Akuna shabiki wa bongo asiekuwa na taaluma ya ukocha.
kwa huo.mfumo Mkude abaki nje,Fraga akili nyingi aanze.
Akianza Mkude pelnat na faulo zitakua ni nyingi mno.

Vipi kwa wananchi...? Kule Mukoko huku kisinda .
 
Hahahahah September 6 sio mbali.
October 18 ndo funga kazi.
Simba Vs Vyura.
hiyo mechi ya ngao ya hisani ni sawa na Simba apigane na swala.ni wazi swala ataliwa tu.
Yule wa Kenya ni Joash Onyango nyinyi mnamwita babu kizee.yanga mnadhambi sana
 
Back
Top Bottom