Nani anaisubiri Simba vs Yanga kwa hamu kama mimi?

PierreLiquid

JF-Expert Member
Oct 16, 2019
596
2,279
Habarini wanamichezo, aise nikiangalia hiz sajili zinazoendelea kweny hizi timu za watani wa jadi, mimi ni Simba Ila kuna vyuma viwili ndgu zetu wamevitoa AS vita bwana bwana.

Obviously sisi tupo vyema wachezaji safi tunao na tunawasajili, ila utopolo siku hizi nao wanajitahi hvyo hvyo. Iyo mechi ijayo watu watafia uwanjani kwa pressure. TFF waandae ambulance za kutosha na red Cross wakutosha.
 
Utopolo ni lazima tuwafunge bao 10. Maana hawajasajili wachezaji wenye uzoefu kama wetu sisi.
 
Yanga hawezi fungwa tena na simba msimu huu kwa usajili huu dhimba anakufa nje ndani
 
Yanga kaacha timu nzima.nani kawaloga Yanga mkawaacha Tshishimbi,Juma Abduli,Ngasa,Yondani,Papaa Molinga?.
 
Yanga hawezi fungwa tena na simba msimu huu kwa usajili huu dhimba anakufa nje ndani
Mpira ni zaidi ya kukusanya tu wachezaji wazuri ukawaingiza uwanjani.

Kuna maandalizi na wachezaji kuelewana. Kabla hatujaongelea derby ya tarehe 18/10 Yanga ana kibarua kigumu kwa Prison na sioni anavukaje.
 
Hayo ni maoni yako siwezi kukuzuia lakn subiri uone mambo yatakavyo kuwa
 
Back
Top Bottom