Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

USIKU WA VITASA: Vitasa kutoka PTA Sabasaba ambapo wababe Twaha Kiduku na Sirimongkhon watashuka ulingoni kuzichapa, hapa utavisikia tu paaaah paaah paaaah Bendera Chuma Mlingoti Chuma Records...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Wakuu Salaam: Huyu mchezaji kafanya nini mbona maneno mengi sana? Siyo kwa kudhalilishana huko hadi kupelekwa timu ya vijana!
4 Reactions
67 Replies
7K Views
Masau Bwire Afisa habari wa Ruvu Shooting leo atakuwepo kwenye kipindi cha Head Quarter katika kituo cha EFM. Baada ya jana kuwashughulikia Simba baada ya kuwasambazia kichapo uwanja wa Uhuru...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shirikisho la kandanda Afrika Caf limelazimika kuarisha fainali ya ligi ya mabingwa iliyokuwa ichezwe Novemba 6 kwa sababu zisizoweka kuepukika. Kulingana na taarifa ya Caf kuahirisha huko...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana watu wengi walishangazwa na maamuzi ya refarii kuipa Yanga penati iliyo nyepesi nakupelekea kuonekana Yanga imebebwa ili wasazishe. Jana washabiki wa Simba walipovuka sana tukio hilo lakini...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Beki na nahodha wa zamani wa Man Utd, Gary Neville ametaja kikosi chake bora cha Man Utd bila wachezaji wa Kiingereza! Mchezaji aliyewashtua wengi ni Bruno Fernandez ambaye ametua Man Utd January...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Miaka mitano iliopita kiungo mshereheshaji wa zamani wa baadhi ya vilabu vya Soka barani Ulaya ikiwemo AC Milan Ronaldo de Assis Moreirra maarufu kama Ronaldinho Dinho Gaucho alipata ajali baada...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Utabadilisha makochaweee kuanzia Julio, Kibaden,......Omog lakini Simba itafungwa tu. Mfano, Tambwe aliachwa Simba akiwa mfungaji bora wa ligi, Niyonzima lazima acheze Simba hata kama ujanja wake...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Habarini za mchana wakuu, Mimi kwa ridhaa yangu bila kushawishiwa wala kushurutishwa na mtu nimeamua kufanya maamuzi sahihi nikiwa na akili timamu kuwa NIMEACHA RASMI KUSHABIKIA YANGA kutokana na...
14 Reactions
103 Replies
9K Views
Mpira ni magoli. Hii dhana ya kucheza entertaining football naona ni ya kijinga sana.Maana inategemea vitu vingi sana ili ifanikiwe. Mfano mechi ya jana na Prisons. Prisons wamecheza Mpira wa...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Mabingwa wa Nchi, Simba Sports Club "Mnyama" leo atakuwa uwanja wa nyumbani wa Uhuru kujiuliza dhidi ya Ruvu Shooting wa Mlandizi, Pwani. Mechi iliyopita mabingwa hao wa Nchi ilikung'utwa bao...
1 Reactions
147 Replies
15K Views
Hapo chini kwenye picha hiyo, kushoto ni Thobias Kifaru ambaye ni msemaji/mhamasishaji wa timu ya mpira wa miguu ya Mtibwa Sugar ya huko Morogoro. Kulia ni msemaji wa timu ya mpira wa miguu ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Endeleeni tu 'Kuwanyamazia' hawa 'Waamuzi' wenu na 'Maupuuzi' yao Uwanjani kama huyu wa Leo kati ya Yanga SC na KMC ili Siku akina GENTAMYCINE wenye 'Historia' za 'Kuwakung'uta' hawa 'Waamuzi'...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Champions bonus Inahusika kwenye usiku wa mabingwa kuanzia 2000/= weka ubashiri wako kwenye mechi za Uefa na Europa, sisi tutakupatia Bonus yako kibabe. Shinda zaidi. #cashout #princessbet...
1 Reactions
1 Replies
801 Views
Ni kiungo wa nkana crispin mulenga kafariki jana kwa ajali kacheza juzi meci ya charity shield dhidi ya indeni team iliopanda daraja ambayo anachezea mcheaji wa zamani wa utoplo fc Juma...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Yule shabiki Maandazi yule ametusababishia matatizo makubwa sana, yeye mjinga sana, yeye aliiita timu yake UTOPOLO FC, ona sasa jina limetugeukia wenyewe! na yeye kapotea katuachia balaa Yanga ni...
4 Reactions
39 Replies
8K Views
Kutokuwepo kwa Chama limekuwa ni pengo kubwa katika club hiyo na kuwafanya wachezaji kucheza bila ya kujiamini. Hili likiendelea litapelekea kwa Simba kuwa na msimu mbaya.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The pitch was like a battle ground where numerous wreck less playing went unpunished. We witnessed all kind of martial arts techniques like dangerous tackling, kick boxing, jiu jitsu, wrestling...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo hii bodi ya ligi nchini(TPBL)imetangaza kufungia UWANJA wa Benjamin Mkapa kwa muda USIOJULIKANA hadi hapo matengenezo yatakapo kamilika..hivyo mechi zote za msimu2020/21 zilizopangwa...
11 Reactions
25 Replies
3K Views
Karibuni Kikosi cha KMC Kaseja Brysoñ Lusajo Dante Mgareneza Abdu Kenny ally Mveyekule Kabunda Hilary Ppeter Kikosi cha Yanga Mnata Kibwana Mstafaaa Lamine Mwamnyeto Mkoko Feisal Kaseke...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…