Simba vs TZ Prisons: What a freaking match!

Mario Kejob

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
441
536
The pitch was like a battle ground where numerous wreck less playing went unpunished. We witnessed all kind of martial arts techniques like dangerous tackling, kick boxing, jiu jitsu, wrestling, punching just to mention few that went unnoticed by the referee.

In my opinion the ref from my home town screwed up what was supposed to be a good game and he should never be allowed to officiate any soccer game from now on due his lack of experience.

Don't get me wrong, I'm not discrediting the goal itself which was pure and clean, but we deserved a better game. I know the are blames going around about how Simba Golie missed the play, but that is a story for another day.

My worry is some teams my take a play book from the Afandes and that will set a very bad precedent on how to play a big club like Simba and who knows next time it could be Yanga.

We welcome fair play in our soccer games for the fans to enjoy and most crucially, for the safety of our players.
 
Tatizo liko ndani ya Simba, wamekariri kucheza mtindo mmoja tu, yaani kuweka mpira chini, kupasiana pasi fupi fupi na kupiga chenga. Hivyo wakikutana na timu yenye kutumia nguvu, kukimbia na kubutua mipira Simba wanapoteana.

Mechi ya leo ingekuwa ni rahisi sana kwa Simba kama wangekuwa watulivu zaidi, kutumia akili zaidi na Kupiga mipira ya mbali.

Huwezi kushindana na Prison kwa kukimbia na kutumia nguvu, utashindwa tu.
 
Huyu refa ndiye aliharibu mechi ya yanga na kagera kwenye kombe la azam cha ajabu hakupewa adhabu yoyote zaidi ya kutetewa na bosi wa chama cha waamuzi alikataa penati mbili za wazi kamanmchezaji kama wawa angekuwepo ni wazi angepata kadi nyekundu.
 
Ni kweli makocha wa Simba wamekariri aina moja ya uchezaji. Jana walishindwa kabisa kubadili mfumo kuendana na uwanja ulivyokuwa na ndio kilichowaadhibu. Na Manula kadri watu wanavyomtetea ndio udhaifu wake wa kucheza mipira ya kona na krosi unazidi kukomaa. Ukweli lazima usemwe tu japo mchungu. Haiwezekani kwa golikipa ulicheza ligi kuu kwa zaidi ya miaka 5 ufungwe goli la namna ile na mbaya zaidi kila wakati unafungwa hivyo hivyo maana yake huwa hajifunzi kutokana na makosa.
 
Acha propaganda mkuu, lile ni goli zuri tu ambalo amestaili kufungwa
 
The pitch was like a battle ground where numerous wreck less playing went unpunished. We witnessed all kind of martial arts techniques like dangerous tackling, kick boxing, jiu jitsu, wrestling, punching just to mention few that went unnoticed by the referee.

In my opinion the ref from my home town screwed up what was supposed to be a good game and he should never be allowed to officiate any soccer game from now on due his lack of experience.

Don't get me wrong, I'm not discrediting the goal itself which was pure and clean, but we deserved a better game. I know the are blames going around about how Simba Golie missed the play, but that is a story for another day.

My worry is some teams my take a play book from the Afandes and that will set a very bad precedent on how to play a big club like Simba and who knows next time it could be Yanga.

We welcome fair play in our soccer games for the fans to enjoy and most crucially, for the safety of our players.
Kwanini usiandike kiswahili tu
 
Acha propaganda mkuu, lile ni goli zuri tu ambalo amestaili kufungwa.
Kwa uzoefu wake kwenye ligi kuu kwa zaidi ya misimu mitano tena akiwa kipa wa timu ya taifa hakustahili kufungwa goli la hovyo kiasi kile. Nenda tena "youtube" kaangalie vizuri halafu urudi tena hapa. Kama haukuona kosa la Manula la kutoka golini kuufuata mpira wa krosi wakati hana uhakika wa kuufikia halafu akasita akaanza karudi golini basi kuna shida kubwa sana sio kwa Manula tu basi hata kwa baadhi ya watu ambao hawakuona kuwa hilo ni kosa la "timing" mbovu kabisa.
 
Huwezi kusikia viandishi uchwara na magazeti uchwara yakizungumzia udhaifu wa marefa ila ingekuwa makosa ya refa yameisaidia Simba ungeona vinavyoangaika kama kuku anayetaka kutaga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom