Hili jina utopolo fc sijui upotolo fc mnatukera sana!

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,941
2,251
Yule shabiki Maandazi yule ametusababishia matatizo makubwa sana, yeye mjinga sana, yeye aliiita timu yake UTOPOLO FC, ona sasa jina limetugeukia wenyewe! na yeye kapotea katuachia balaa

Yanga ni brand kubwa sana! haiwezi kuharibiwa na watu wajinga wajinga!
 
Mimi naipenda Yanga, hata jina la Utopolo nalipenda, linatuhamasisha kufanya vizuri zaidi
 
Jina hilo litafutika mkianza kuwa proffessional.Sasa hivi mambo mnayofanya ndiyo yanapekekea jina hilo liwaenee vizuri.

Mfano mmefungwa mnaanza kuwalaumu wachezaji wenu wamehongwa.Huu ni ujinga sana.
Kipindi kile mliwaahidi milioni kumi kila mmoja,safari hii mliwaahidi nini?
Mtoto umleavyo,ndivyo akuavyo.
Yule shabiki Maandazi yule ametusababishia matatizo makubwa sana, yeye mjinga sana, yeye aliiita timu yake UTOPOLO FC, ona sasa jina limetugeukia wenyewe! na yeye kapotea katuachia balaa

Yanga ni brand kubwa sana! haiwezi kuharibiwa na watu wajinga wajinga!
 
Yule shabiki Maandazi yule ametusababishia matatizo makubwa sana, yeye mjinga sana, yeye aliiita timu yake UTOPOLO FC, ona sasa jina limetugeukia wenyewe! na yeye kapotea katuachia balaa

Yanga ni brand kubwa sana! haiwezi kuharibiwa na watu wajinga wajinga!
Utopolo the green and yellow
 
Yule shabiki Maandazi yule ametusababishia matatizo makubwa sana, yeye mjinga sana, yeye aliiita timu yake UTOPOLO FC, ona sasa jina limetugeukia wenyewe! na yeye kapotea katuachia balaa

Yanga ni brand kubwa sana! haiwezi kuharibiwa na watu wajinga wajinga!
Poapoa UTOPOLO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom