Unahisi nani amesahaulika katika kikosi hiki?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,708
45,071
Beki na nahodha wa zamani wa Man Utd, Gary Neville ametaja kikosi chake bora cha Man Utd bila wachezaji wa Kiingereza!

Mchezaji aliyewashtua wengi ni Bruno Fernandez ambaye ametua Man Utd January lakini Gary Neville akaamua amjumuishe kikosini huku wakikosekana mastaa kadhaa!

Je unakubaliana na kikosi hiki cha wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza Man Utd ambacho kimetengenezwa na Gary?

Unahisi nani alipaswa awepo kikosini? Mimi nashangaa ni kwa namna gani Park Ji Sung alivyosahaulika kikosini!

Karibu kwa mjadala.

IMG_4947.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom