Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire leo katika kipindi cha HQ EFM

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,570
188,777
Masau Bwire Afisa habari wa Ruvu Shooting leo atakuwepo kwenye kipindi cha Head Quarter katika kituo cha EFM.

Baada ya jana kuwashughulikia Simba baada ya kuwasambazia kichapo uwanja wa Uhuru.

Kama mnavyomfahamu huyu msemaji bora hapa Tanzania leo, Sasa leo Simba wataendelea kushughulikiwa kwa maneno.
 
Back
Top Bottom