Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

1.Mo ni mfadhiri wa Simba au ni Mmiliki wa Simba? 2.Kama ni Mmiliki huo Umiliki umekamilika lini? hizo 49% kazipata lini? Pesa zake ziko wapi? 3.Kama yeye ana 49% na Club ina 51 % kwanini yeye...
13 Reactions
28 Replies
5K Views
Ligi kuu bara inaendelea leo kwa timu ya Simba na Coastal Union zitakutana katika mzunguko wa pili, ikumbukwe Simba ikishinda leo moja kwa moja wanaenda kuongoza ligi na kupata nafasi nzuri ya...
4 Reactions
214 Replies
20K Views
Wakosoaji karibuni tena. Simba hatuna baya
7 Reactions
64 Replies
6K Views
Pole sana Mzee Hamis Kilomoni na Siku zingine ujue kwamba nchi hii ni zaidi ya Wewe pamoja na hao Wanaokutuma au Kukutumia. Wenye Akili walikushauri sana kuwa tulia ili uheshimike zaidi lakini...
13 Reactions
101 Replies
11K Views
Sio Press realese Ni Press release
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Hii ni habari mbaya kwa washabiki wa GSW waliotegemea kupambana na Lakers msimu huu baada ya kuburuza mkia kwa sababu za majeruhi msimu ulioisha. Tuendelee kusubiri mpaka msimu mwingine tena, ila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Walizimiwa umeme kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo kabla ya mechi! Zama hizi kweli tunafanya ujinga huu? Daah soka letu lina safari ndefu sana...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Commoros ni visiwa vilivyojirani sana na nchi yetu lakini kwa miaka mingi walionekana mpira sio fani yao kabisa. Ambapo vilabu vyao kufungwa 8,7,6,5 na simba,Yanga hata na Mtibwa nilikuwa jambo la...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Baada ya mechi kati ya Yanga na Simba pamoja na kuwa na waamuzi 6 ilishuhudia maamuzi ya ajabu kama penati ya makosa yaliyofanyika nje ya 18, rafu bila kutolewa kadi, game kupozwa bila sababu na...
0 Reactions
3 Replies
892 Views
Nimekaa nimewaza sana. Hivi sisi Watanzania kuna wachezaji wengi wa kutoka nchi za nje wanakuja kucheza huku kwetu, na wengineo wana viwango vizuri tu ila timu zao za Taifa wanakotoka hawapati...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunisia 10 wanafuzu kucheza AFCON 2021 baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Tanzania [emoji1241]. Equatorial Guinea [emoji1095] wanashika nafasi ya pili kwenye Kundi J kwa pointi 6, Tanzania nafasi ya 3...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Tumshukuru mungu kwa kila jambo. Mwenyezi mungu hawezi kukupa kila kitu. Unaweza ukakufuru kwa baadae. Mungu katupa amani, maliasili ambayo Tanzania ni nchi ya pili duaniani kuwa na maliasili...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna mkanganyiko wa baadhi ya websites kuhusu mechi ya leo kuhusu muda utakapochezwa mchezo wa taifa stars na Tunisia, wengine wameandika saa nne usiku wengine saa mbili usiku, uhalisia ni mechi...
4 Reactions
186 Replies
18K Views
Je, Simba huenda yakawakuta kama ya Yanga na Manji? Ni suala la muda tu Mo ndiye: 1. Afisa habari wa timu 2. Mwekezaji 3. Mtendaji mkuu 4. Mwenyekiti wa Bodi 5. Mkurugenzi wa Ufundi.
10 Reactions
63 Replies
6K Views
1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Bakari Mwamnyeto 5. Erasto Nyoni 6. Jonas Mkude 7. Simon Msuva 8. Feisal Salum 9. Ditram Nchimbi 10. John Boko 11. Farid Musa Na John...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Leo Ijumapili 30, Aug 2020. Kutakuwa na mtanange murua wa Ngao ya Jamii 'Community Shield'. Simba Sc v Namungo, Arusha Shekh Amri Abeid Stadium. 1530Hrs. Natabiri kikosi changu. 1. Aishi Manura...
6 Reactions
176 Replies
18K Views
Charlton Athletic Goalkeeper Sam Bartram Alone On Pitch After Game Was Abonded Due Thick Fog. | 25 December 1937 | JUA KIUNDANI KUHUSU HILI Unafahamu ya kua mnamo tr 25-12-1937.nchini...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Karibuni wazalendo tumnyooshe Tunisia nyumban kwake Mechi ni ya kufuzu Afcon ikiwa ni mechi ya 3,Tanzania alishinda mechi zake 1 na kupoteza 1 Tunisia yeye alishinda mechi zote mbili kikosi cha...
2 Reactions
143 Replies
15K Views
Back
Top Bottom