Mzee Hamis Kilomoni kwisha kabisa, Jeshi la Polisi lammaliza kwa kumpa masharti ambayo hata iweje hatoyaweza!

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Pole sana Mzee Hamis Kilomoni na Siku zingine ujue kwamba nchi hii ni zaidi ya Wewe pamoja na hao Wanaokutuma au Kukutumia. Wenye Akili walikushauri sana kuwa tulia ili uheshimike zaidi lakini ukawadharau hatimaye sasa Maamuzi mapya yaliyotoka yamekumaliza na itakulazimu uwe mpole tu huku Simba SC ikiendelea Kufanya mambo makubwa ya Kimaendeleo chini ya Kipenzi chetu Mwekezaji Mo Dewji.

Taarifa zilizonifikia na ambazo hata hivyo bado naendelea Kuzithibitisha zinasema ya kwamba Jeshi la Polisi nchini Tanzania limempa Masharti Mzee Hamisi Kilomoni ili ayatekeleze ndipo wampe Kibali cha Yeye Kufanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari Jumatano ijayo ya tarehe 31 July 2019 katika kile alichokiita huo ni Msumari wa Moto.

Masharti yenyewe ni haya Mawili tu kama yafuatayo ambayo ametakiwa Kuyatekeleza na kama akienda Kinyume nayo na akafanya Mkutano wake huo basi Kitakachomkuta Siku hiyo na Kisheria asije Kumlaumu Mtu kwani hii nchi inaendeshwa na Sheria na taratibu zake....

1. Awe na Barua latest ( ya sasa ) kutoka RITA inayoonyesha kuwa Yeye ni Mdhamini wa Klabu ya Simba SC. ( ikumbukwe kuwa tayari RITA imeshasema kuwa haimtambui Mzee Hamis Kilomoni kama Mdhamini wa Simba SC na ilishatoa Msimamo wake na hadi Kutangaza Majina ya Wadhamini ambapo Mzee Kilomoni hayumo )

2. Aombe Kibali kutoka Bodi ya Klabu ya Simba SC ( iliyo chini ya Mwekezaji Mo Dewji na Mwenyekiti wa Klabu Swedi Nkwabi ) ndipo aweze Kufanya huo Mkutano wake na Waandishi wa Habari. ( ikumbukwe kuwa Ugomvi wa Mzee Hamis Kilomoni ni dhidi ya hawa Watu muhimu Wawili wenye dhamana ya Uwekezaji na Uongozi ndani ya Simba SC hivyo sidhani kama na Wao watakuwa Wapumbavu kiasi hicho na waweze kumpa Kibali huyu Mzee ili akawaseme, akawakashifu, akawachafue na hadi akawadhihaki mbele ya Vyombo vya Habari )

Ama hakika hili ni Pigo Kubwa sana kwa Mzee Kilomoni na ndiyo sasa atajua kuwa Tanzania na ndani ya Simba SC kuna Watu wana Akili zilizoshindikana na wanajua kile wanachokifanya na kwamba walikuwa wanamuangalia tu huku wakijua kuwa ni wapi watambana na atashindwa tu hadi Kudharaulika na kuonekana Mpuuzi na kweli Kimetimia.

This is Simba SC
Akhsanteni mno Jeshi la Polisi Tanzania na hasa Mkoa wa Dar es Salaam ( Kanda Maalum )
Poleni sana wale Wote mliokuwa mkimjaza Ujinga na Upumbavu Mzee Hamis Kilomoni.
 
Drama zisizo na tija

Kwahiyo Kwako Wewe Upuuzi wa huyu Mzee ndiyo ulikuwa na Tija? Sasa ndiyo atajua kuwa Simba SC ni zaidi ya Yeye na Wapuuzi Wenzake ambao walikuwa Kutwa wakimjaza Ujinga kama siyo Upumbavu. Kama Yeye Mwanaume kweli na nyie wana Yanga SC mlikuwa mnampa Kiburi mwambieni basi ayatimize upesi hayo Masharti Mawili tajwa hapo juu yanayosemekana kuwa ndiyo amepewa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Mtu Mmoja tu kamwe hawezi Kuzisumbua Akili za Watanzania Mamilioni wenye Mapenzi mema na Mabadiliko ya sasa ya Kiuwekezaji ndani ya Simba SC chini ya Mwekezaji Mohammed Mo Dewji.
 
Kwisha kabisaa
 
Kazi ya Bashite baada ya kuchuka mpunga wa Mo. Hakuna jipya
 
Kwahiyo Kwako Wewe Upuuzi wa huyu Mzee ndiyo ulikuwa na Tija? Sasa ndiyo atajua kuwa Simba SC ni zaidi ya Yeye na Wapuuzi Wenzake ambao walikuwa Kutwa wakimjaza Ujinga kama siyo Upumbavu. Kama Yeye Mwanaume kweli na nyie wana Yanga SC mlikuwa mnampa Kiburi mwambieni basi ayatimize upesi hayo Masharti Mawili tajwa hapo juu yanayosemekana kuwa ndiyo amepewa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Mtu Mmoja tu kamwe hawezi Kuzisumbua Akili za Watanzania Mamilioni wenye Mapenzi mema na Mabadiliko ya sasa ya Kiuwekezaji ndani ya Simba SC chini ya Mwekezaji Mohammed Mo Dewji.
Drama za kike

As a ssc member, naona members Kama wewe Ni vicheche tu

Ukisoma message yangu was very clear

But you picked a wrong side of interpretation

Such an idiot
 
I dont understand,
Kwani akifanya nao mkutano via video call kitaharibika nn..
Btw huu mgogoro haunihusu na hata sijui chanzo chake ni nini
 
Kwahiyo Kwako Wewe Upuuzi wa huyu Mzee ndiyo ulikuwa na Tija? Sasa ndiyo atajua kuwa Simba SC ni zaidi ya Yeye na Wapuuzi Wenzake ambao walikuwa Kutwa wakimjaza Ujinga kama siyo Upumbavu. Kama Yeye Mwanaume kweli na nyie wana Yanga SC mlikuwa mnampa Kiburi mwambieni basi ayatimize upesi hayo Masharti Mawili tajwa hapo juu yanayosemekana kuwa ndiyo amepewa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Mtu Mmoja tu kamwe hawezi Kuzisumbua Akili za Watanzania Mamilioni wenye Mapenzi mema na Mabadiliko ya sasa ya Kiuwekezaji ndani ya Simba SC chini ya Mwekezaji Mohammed Mo Dewji.
huyo mzee waliokuwa wanamshabikia ni wanayanga
 
Pole sana Mzee Hamis Kilomoni na Siku zingine ujue kwamba nchi hii ni zaidi ya Wewe pamoja na hao Wanaokutuma au Kukutumia. Wenye Akili walikushauri sana kuwa tulia ili uheshimike zaidi lakini ukawadharau hatimaye sasa Maamuzi mapya yaliyotoka yamekumaliza na itakulazimu uwe mpole tu huku Simba SC ikiendelea Kufanya mambo makubwa ya Kimaendeleo chini ya Kipenzi chetu Mwekezaji Mo Dewji.

Taarifa zilizonifikia na ambazo hata hivyo bado naendelea Kuzithibitisha zinasema ya kwamba Jeshi la Polisi nchini Tanzania limempa Masharti Mzee Hamisi Kilomoni ili ayatekeleze ndipo wampe Kibali cha Yeye Kufanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari Jumatano ijayo ya tarehe 31 July 2019 katika kile alichokiita huo ni Msumari wa Moto.

Masharti yenyewe ni haya Mawili tu kama yafuatayo ambayo ametakiwa Kuyatekeleza na kama akienda Kinyume nayo na akafanya Mkutano wake huo basi Kitakachomkuta Siku hiyo na Kisheria asije Kumlaumu Mtu kwani hii nchi inaendeshwa na Sheria na taratibu zake....

1. Awe na Barua latest ( ya sasa ) kutoka RITA inayoonyesha kuwa Yeye ni Mdhamini wa Klabu ya Simba SC. ( ikumbukwe kuwa tayari RITA imeshasema kuwa haimtambui Mzee Hamis Kilomoni kama Mdhamini wa Simba SC na ilishatoa Msimamo wake na hadi Kutangaza Majina ya Wadhamini ambapo Mzee Kilomoni hayumo )

2. Aombe Kibali kutoka Bodi ya Klabu ya Simba SC ( iliyo chini ya Mwekezaji Mo Dewji na Mwenyekiti wa Klabu Swedi Nkwabi ) ndipo aweze Kufanya huo Mkutano wake na Waandishi wa Habari. ( ikumbukwe kuwa Ugomvi wa Mzee Hamis Kilomoni ni dhidi ya hawa Watu muhimu Wawili wenye dhamana ya Uwekezaji na Uongozi ndani ya Simba SC hivyo sidhani kama na Wao watakuwa Wapumbavu kiasi hicho na waweze kumpa Kibali huyu Mzee ili akawaseme, akawakashifu, akawachafue na hadi akawadhihaki mbele ya Vyombo vya Habari )

Ama hakika hili ni Pigo Kubwa sana kwa Mzee Kilomoni na ndiyo sasa atajua kuwa Tanzania na ndani ya Simba SC kuna Watu wana Akili zilizoshindikana na wanajua kile wanachokifanya na kwamba walikuwa wanamuangalia tu huku wakijua kuwa ni wapi watambana na atashindwa tu hadi Kudharaulika na kuonekana Mpuuzi na kweli Kimetimia.

This is Simba SC
Akhsanteni mno Jeshi la Polisi Tanzania na hasa Mkoa wa Dar es Salaam ( Kanda Maalum )
Poleni sana wale Wote mliokuwa mkimjaza Ujinga na Upumbavu Mzee Hamis Kilomoni.
Aisee kuna njia nyingi za kupelek taarifa si lazima aite waandishi wa habari ujue..so usichekelee sana.
 
Back
Top Bottom