Tanzania Premier League (TPL) Simba VS Coastal Union....Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi)

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
8,574
2,000
Ligi kuu bara inaendelea leo kwa timu ya Simba na Coastal Union zitakutana katika mzunguko wa pili, ikumbukwe Simba ikishinda leo moja kwa moja wanaenda kuongoza ligi na kupata nafasi nzuri ya kutetea taji lao walilolichukua msimu uliyopita.
LINES UP
SIMBA SC
Manula, Gyan, M. Hussein, Mlipili, Nyoni, Mkude, Chama, Ndemla, Okwi, R, Juma, Kagere.
SUBS.... Munish, Kotei, Mzamiru, Dilunga 'HD', Mo Ibrahim, Salamba, Bocco
......................................................................
HALF TIME: Simba 2-1 Coastal Union
.......................................................................
FULL TIME: Simba 8-1 Coastal Union
goli za Simba zimefungwa na
Okwi goli 3
Kagere goli 3
Hassan Dilung 1
Chota Chama 1
kwa sasa Simba Sc wanaongoza ligi kwa points 81 wakiwa wameshuka dimbani mara 31 huku wakiwa na michezo miwili mkononi.
This is Simba brothers and sisters
 

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
8,574
2,000
15' Coastal Union wanafanya shambulizi la hatari kwa mara ya kwanza na mpira kugongo mwamba Manula anadaka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom