Kwa jina la Muumba na kwa upendo JMTanzania.
Mwarabu huyu ametuonesha uzalendo na upendo wa dhati kwa Taifa letu adhimu.
WanaMichezo na wanaHabari na wadau wengi watafaidika kwa njia mbalimbali...
Mwezi feb 1932 katika eneo la milan italia alizaliwa Casare Maldini, career yake ilikua ni kusakata kabumbu ambapo alicheza nafasi ya ulinzi .
Mwaka 1954- 1966 alichezea club ya AC Milan akicheza...
Kwenye kampeni suala la mchezo ulisema utaisimamia ilani CCM kuhusu mambo ya viwanja vya wazi visiporwe, maeneo ya kucheza watoto na kadhalika!
Ajabu sasa umesikika mjengoni unaongelea mambo ya...
Mosi, MKATABA umetolewa kwa muktadha wa UZOEFU na sio katika TARATIBU za Manunuzi ya Umma. Mathalani, tukiangalia Ligi ya South Africa, duration ya MKATABA inakuwa ni kati ya miaka miwili hadi...
Mchezaj wa kimataifa wa Yanga mwenye asili ya kiangola amevunja mkataba wake na yanga na kuelekea kwao angola sababu hazijaeleweka ila chini ya kapet ni kuwa maisha ya utopoloni yamemshinda...
Katika hali isiyo ya kawaida, kuna tukio linaonyesha mwamuzi akiungana na benchi la ufundi la Namungo kushangilia goli ambalo Steve Nzigamasabo wa Namungo aliitanguliza timu yake mbele. Bila shaka...
Katika mpira wa miguu ambao uwa unasimamiwa na Sheria mbalimbali ambazo zinazotolewa na FIFA, kuna baadhi ya Sheria zimeondolewa.
Ukiwa kama mpenda soka je Sheria gani unaikumbuka Sana ambayo...
1. Nidhamu mbovu ya Wachezaji Watatu Lamine Moro, Metacha Mnata na Michael Sarpong huku wengine wakipigana, kurogana hadharani na hata kutukanana.
2. Tabia mbaya ya Usodoma na Ugomola aliyonayo...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Jumamosi Mei 29, 2021 ambapo Namungo FC wakiwa dimba lao la nyumbani kuwakabili Mabingwa Watetezi Mnyama Mkali...
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo ambaye alishinda kwa KO dhidi ya Bondia Antonio Mayala wa #Angola pambano lililofanyika Mei 28, 2021
Mwakinyo amesema kwa mara ya kwanza angeweza kugoma kwa...
Huku tukiendelea kutafakari Nkataba wa Azam tupate inputs mbali mbali ufuatao ni mgawanyo wa fedha kwa epl 2019/20
Bingwa yaani liver pool alipata euro milioni 174 sawa na bilioni 573 za madafu...
Nimerejea tena kuitazama post yangu ya tarehe 2 June mwaka huu. Niliipa kichwa cha habari, "PEP GUADIOLA NI KOCHA WA KAWAIDAA MNOOO".
nilitoa mtazamo wangu kuhusu hyu kocha uchwara anae...
Chelsea hii ya kuwaanzisha Reece James na Azipilicueta waanze pamoja (no creativity)? Chelsea hii ya kutuaminisha kuwa Timo Werner ni mchezaji mzuri wakati ligi inaonekana imemshinda? Chelsea hii...
GEITA GOLD MABINGWA WA LIGI SOKA DARAJA LA KWANZA...
Klabu ya Geita Gold ya mkoani Geita imefanikiwa kuutwaa ubingwa wa ligi soka daraja la kwanza Tanzania bara baada ya kuichapa Mbeya Kwanza bao...
Hizi ndo timu ambazo zimebeba UEFA CL toka mashindano yalipoanzishwa mwaka 1955 ambapo wakati huo mashindano haya yakijulikana kama European Cup mpaka mwaka 1992 yakabadilishwa jina na kuitwa UEFA...
Kitendo ulichofanya leo dhidi ya kocha wa Geita Gold sio kizuri hata kidogo kwa afya ya soka letu, umeonesha chuki na ubaguzi.
Umekataa kumshika mkono Minziro kisa nini?
Haya haya amkeni kuna goli la utata huku linawekwa kambani na yule yule.
Kusema kweli TFF inatuonea sana kwa nini inakubali magoli kama haya?Sie tumekosa nini jamani!??Kwa nini mwamuzi hajatoa...
Kimzaha mzaha wakati inaonekana anahangaika kuipandisha brand ya Simba ukweli ni kwamba kwenye issue ngumu ni muoga sana, Simba ilipofikia kuna siku itechaza hata na Manzese united wakasema simba...
Habari za kusikitisha kutoka zambia,mke wa mchezaji nguli wa simba sc amefariki dunia.
===
#ZSUpdates is saddened to learn the passing of Chipolopolo boys midfielder Clatous Chota Chama's wife...