Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuna Utafiti uliwahi Kufanywa na ukaja na Matokeo kuwa 90% ya Mashabiki wa Yanga SC ni Mbayuwayu ( Watupu Vichwani ) wengi Wetu ( hasa Wadau wa Soka) nchini tukabisha na kukataa ila leo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo. Nawatakieni kila la Kheri ila tu...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Kaizer chiefs ametinga fainali ya caf kwa mara ya kwanza.. Tutegemee kama chelsea na ma city uefa final Maana upande wa al ahly na esperence yeyote atakaepita ni kigogo.. Kaizer ameshatangulia...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Baadhi ya Vigogo waliohudhuria hawa hapa , yumo Jakaya Kikwete
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, ndugu Fredrick Mwakalebela ambaye amefungiwa kutojihusisha na masuala ya soka nchini kwa kipindi cha miaka mitano pamoja na kutozwa faini ya sh...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Sisi hatukubali kupeleka timu kucheza na Simba kwani goli lao halikuwa halali. Kwa nini sisi TFF inatuonea jamani?
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni mtangazaji gani anakuvutia zaidi anapotangaza mechi ya mpira wa miguu. Binafsi navutiwa sana na 1. Peter Drury "Spain on the plane, or Spain in the Russian rain "You've heard of...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Yanga ikianzisha mpira wa haraka na kujipatia goli. Wakifanya wao sawa,wakianzisha wengine sio goli. Hakika hawa ni Utopolo
1 Reactions
6 Replies
994 Views
Michuano ya Nusu Fainali ya Kombe Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC), kukamilika kwa mchezo kupigwa leo Juni 26 2021, ambapo Mnyama Mkali Simba SC anatingishana na Wana lamba lamba...
9 Reactions
194 Replies
18K Views
Nashauri kesho viongozi wa yanga twendeni CAS au FIFA. Tukakumbushie kesi ya Morrison.huyu mchezaji ana kera sana.anakera mpaka mwisho. Jana tena ametonesha kidonda kwa kusababisha faulo na...
13 Reactions
11 Replies
2K Views
Nianze Kwanza kwa Kumshukuru Mchambuzi 'mahiri' wa Mpira kutoka Clouds FM Kipindi chao cha Michezo cha Sports Extra Farahani (Farhan) Kihamu kwa Ufafanuzi wake ulioenda Shule (Kidato) Na nikiri...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwanachama wa Yanga Yusuf Manji amewasili muda huu kwenye mkutano mkuu wa yanga na kuzua shangwe kubwa nje ya ukumbi na ukumbini
1 Reactions
7 Replies
1K Views
a ) Rafu mbaya sana na ya Kikatili mno aliyochezewa Luis Miquissone wa Simba SC na Beki Mpuuzi Mghana wa Azam FC ambayo si tu ingemjeruhi vibaya bali ingeweza hata Kuhatarisha Uhai wake na cha...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
After almost 20 years, Safari Rally Kenya returns to the World Rally Championship this weekend and the roads north of Nairobi are primed, ready, waiting and completely alien to today's rallying...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mshambuliaji kinda wa Tanzania, Kelvin John "Mbappe" ame sign mkataba wa miaka 3 na timu ya KRC Genk ya ligi kuu ya Belgium Timu ya Genk ndio timu aliyokuwa anaichezea nahodha wa Tanzania Mbwana...
22 Reactions
32 Replies
4K Views
🤣🤣🤣 Simba na Yanga raha,burudani unazipa nje na ndani ya uwanja
3 Reactions
7 Replies
2K Views
MESSISTATS ALL TIME INTERNATIONALS ALL TIME 73GOALS 43ASSISTS 146APPS 165 mins per goal 104 mins per goal contribution RONALDOSTATS ALL TIME INTERNATIONALS ALL TIME 106GOALS 30ASSISTS 176APPS...
7 Reactions
58 Replies
8K Views
Mm ni mpenzi wa mpira sana,huwa nafuatilia michuano mbalimbali hata kama sitoiangalia kwenye TV huwa naangalia kwenye flash score yangu. Kwa sasa kuna hii FIFA Arab cup inayoendelea huko...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
wananchi wanatisha kwa hasira hata refa alijua kabisa angekataa lile goal wangemla nyama live..vitisho vyao vinafanya kazi kwa kweli kasoro tu mitambo ya magoli inashindwa kufanya mambo sijui...
4 Reactions
70 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…