Mtangazaji yupi anakuvutia?

Hadrianus

JF-Expert Member
Feb 19, 2020
2,112
5,208
Ni mtangazaji gani anakuvutia zaidi anapotangaza mechi ya mpira wa miguu.

Binafsi navutiwa sana na

1. Peter Drury

"Spain on the plane, or Spain in the Russian rain

"You've heard of 'SharapOVA

"You've heard of 'KornokOVA

"Now, it's all OVER.

"Pique climbed high, Dzyuba climbed higher & Russia as a nation rose highest."

Spain lost on penalties WC 2018

2. John Champion

3. Baraka Mpenja "sauti ya radi"

Asalaaam aleykum Dar es salaam, asalaam aleykum Tanzania,
Asalaam aleykum East Africa na Duniani kote.

Mimi ni Baraka Mpenja, karibu katika Dabi ya Kariakoo.....
 
Mpaka leo bado sijaona wa Kuwazidi 'Wakongwe' akina Omary Jongo, Ahmed Jongo, Charles Hillary na Juma Nkamia na waliopo naona wanapiga 'Kelele' tu na nashangaa mnavyowapa 'Sifa' wasizostahili.
 
Idi Salum Kidedea ananivutia. Baraka Mpenja ananipigia kelele tu. Mbwembwe nyingi zinaharibu
sijui ndo ninayenivutia zaidi na mimi .. namanisha aliyekuwa commententor wa coast union na prison leo ...jamaaa anajuaa kutangaza kabumbu
 
Peter Drury! Mechi ya quarter final CL Barcelona na Roma! Huyu Mzee aliuwa sana! Au lile goli la Tshabalala kwenye ufunguzi wa World Cup 2010 kule bondeni kwa Mzee Madiba

Goal for Bafana Bafana! Goal for South Africa! Goal for all Africa!”
Manolas Goal..
 
Maajabu!! haya ni maajabu!! , linafungwa goal gani hapa. Hivi macho yako yanaona kama mimi!! Macho yangu yanaona kama yako!!. Nani alisema simba haiendi hatua ya makundi??. Yuko wapi anaeteseka? Na kwanini ateseke!!....

Full Time SIMBA 3- 1 NKANA.
 
Ni mtangazaji gani anakuvutia zaidi anapotangaza mechi ya mpira wa miguu.

Binafsi navutiwa sana na

1. Peter Drury

"Spain on the plane, or Spain in the Russian rain

"You've heard of 'SharapOVA

"You've heard of 'KornokOVA

"Now, it's all OVER.

"Pique climbed high, Dzyuba climbed higher & Russia as a nation rose highest."

Spain lost on penalties WC 2018

2. John Champion

3. Baraka Mpenja "sauti ya radi"

Asalaaam aleykum Dar es salaam, asalaam aleykum Tanzania,
Asalaam aleykum East Africa na Duniani kote.

Mimi ni Baraka Mpenja, karibu katika Dabi ya Kariakoo.....
Fatma Nyangasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom