Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Huyu ni Clatous Chotas Chama. Huwa hana mbio sana. Ni mtembeaji tu Uwanjani. Ana assist 15. Angalia mwenyewe ASSIST ngapi? 15 na magoli mangapi? 7 kama sikosei Huyu ni Tuisila Tununu Tusinda...
21 Reactions
86 Replies
12K Views
Nimezifuatilia sababu za baadhi ya Viongozi wa Simba SC na Mashabiki ' Wapuuzi ' wachache juu ya sababu zao kutaka Kocha Mkuu wa Simba SC Patrick Aussems aondoke na Kugundua kuwa zote ni za...
15 Reactions
125 Replies
15K Views
Soma haya madudu aliyoandika hapa chini. Nilishawahi kuandika humu kuwa Shaffi Dauda hafai hata kuchambua rede,wengi walinielewa sana. Narudi kwake tena kumshauri alinde heshima kidogo aliyobaki...
8 Reactions
51 Replies
5K Views
Haji Manara si msemaji mwenye akili. Ni kama Yanga nasi tuna watu wetu wachumia tumbo. Ndivyo alivyo Manara. Ni kilaza sana na ameota mapembe akidhani yeye ni mkubwa au yupo sawa na Simba. Mi...
11 Reactions
27 Replies
3K Views
Ukibisha Uje na facts sitaki longolongo ntakupiga BAN la kufa mtu[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
13 Reactions
463 Replies
35K Views
Ni muda mrefu sana tangu kuanzishwa kwake hivi vilabu vimekua vikirandana na kufanana kwa kila jambo kama mapacha. Ndio maana hata imekua ngumu sana kwa kilabu kimoja kuendelea saana kuliko...
38 Reactions
97 Replies
7K Views
Wadau habari ya jioni,hivi karibuni tumeshuhudia wanaume wa mkoani Kigoma kutembea kwa miguu au kutumia baiskeli kwenda Dar kutazama mechi za Simba na Yanga. Je, wanaume wa Dar hamuoni kwamba...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Tangu alipoibuka ghafla kutoka kusikojulikana, mashamsham yameongezeka sana, Yanga imechangamka, kwanini asiwe msemaji wa yanga ili kushindana na Manara?!
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ligi ya VPL imemalizika jana, taja mchezaji anayestahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu!!
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Maajabu hayaishi duniani,ona hii ya TTF.
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Ikiwa huyu mzee wetu ataelekea kwenye fainali hii kule Kigoma ninashauri apatiwe ulinzi binafsi either Yanga au Kamati ya ulinzi na usaĺama ya mkoa wabebe jukumu hili Huenda ikatokea mzee wetu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jionee hapo Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
3 Reactions
5 Replies
2K Views
The Greek freek Giannis antekounmpo anakwenda kumpumzisha gwiji Lebron soon. Lebron asisubiri aibu ang'atuke mapema awache damu changa
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Hilo lipo wazi sana jamaa anakiburi na kisirani, hiki kitendo cha kususa sherehe ni ujinga mkubwa, Mbona Kuna watu inajulikana sio mali ya Simba kama Sheva lakini wamekuwa waungwana? Jamaa...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
SIMBA NI WA MWISHO, WAMEBURUZA MKIA Ni kweli kuwa Simba wameburuza mkia katika mchuoano wa timu kubwa katika ligi kuu Tanzania Bara. Licha ya Mchuano wa ligi kuu kwa ujumla lakni kulikuwa na...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Tozo ya miamala imepiga mpaka kumbukumbu zimeruka
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari wakuu Nawaza hapa endapo Simba itafungwa tena kigoma sijui hali itakuaje. Naiona Yanga ikitawala msimu ujao baada ya Simba kupasuka vipande vipande baada ya matokeo ya Kigoma.
15 Reactions
48 Replies
5K Views
Waafrika Haipaswi Kushabikia Soka la ulaya "Uropa" Waafrika wanapoteza wakati muhimu kutazama Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga ya Uhispania, Bundesliga na ligi zingine za kandanda za Uropa. Wakati...
4 Reactions
71 Replies
6K Views
Mwanachama mkongwe wa Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga Mzee Ibrahim Akilimali amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Bagamoyo Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...!!
9 Reactions
97 Replies
12K Views
Rejea mada tajwa hapo juu. Mkurugenzi wa ufundi anakazi gani (majukumu) kwenye timu. Kama sijasahau amewahi kupita KIM POULSEN, AMMY NINJE & OSCAR MIRAMBO pale TFF. Binafsi sijawahi kuona nini...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…