Shaffi Dauda umeshazeeka, punguza kufitinisha watu mzee

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,094
103,333
20210514_06584338830.jpg

Soma haya madudu aliyoandika hapa chini. Nilishawahi kuandika humu kuwa Shaffi Dauda hafai hata kuchambua rede,wengi walinielewa sana. Narudi kwake tena kumshauri alinde heshima kidogo aliyobaki nayo. Hii stori ya kuitwa Mchambuzi takataka ni mambo ya kujitakia. Unafitinisha watu na taasisi mpaka inakera. Mambo ya fitina waachie wanawake

Alichoandika

Binafsi sio muumini sana wa Seasons wala movies za part One mpaka Three, by nature nina uvivu wa kusoma sana au kukaa kwenye mada moja kwa muda mrefu, kutokana na changamoto ya muda

By the way niliwapa aina mbili za Haji Manara, nikawaelezea na wenye kuelewa basi wameelewa, Haji ukishamtoa kwenye kivuli cha Simba na kumuanika yeye peke yake ni muoga na Mjanja Mjanja

Unaweza kudanganya watu ila watu huwezi kuwadanganya kwa wakati wote, moja kati ya vitu anavyoamini ni kuwa Simba ipo ilipo kwa nguvu yake, well and good kwakuwa ni Muajiriwa its fair kuamini hivyo

Ila Simba kufanikiwa kisa maneno yake ni kujidanganya, Simba ilikuwa na mafanikio kabla hata yeye kufika Simba, 1970 huko Simba anacheza Nusu Afrika, 1990 huko Simba anacheza fainali shirikisho, Haji alikuwepo? Ni hoja mfu

Kuendelea kuamini brand ya Simba inalindwa kwa kelele zake huo ni utoto, Simba ina miaka mingi imejitengenezea brand yake na Mashabiki pamoja na wao Viongozi collectively wanaipeleka, kila Mtu akifanya kwa nafasi yake

Brand hailindwi kwa dhihaka wala maneno, brand inalindwa kwa Matokeo uwanjani, vikombe na mipango kazi, mambo yakienda vizuri kila Kiongozi atakachosema basi kinakuwa Lulu, kwa mafanikio ya Simba hata Mwandishi fresh from school akikaa pale ataongea na ataeleweka

Kinachomsumbua Haji ni lifestyle aliyochagua, kama ulipata kazi kwa kelele zako utalazimika kuishikilia nafasi kwa kelele, kama ulipata nafasi kwa Merit basi utaishikilia nafasi yako kwa Merit, hiyo ndio kanuni ya maisha, Haji ni muhanga wa lifestyle yake

Ila kwa kadri Simba inavyopiga hatua itaendelea kubadilika, kuna Uswahili umeachwa na haupo tena Simba, kuliwahi kuwa na makomandoo sasa hawapo tena, kulikuwahi kuwa na wapiga dili na sasa hawapo tena, itafika muda hawatohitaji kelele za Manara, believe me muda utafika

Tunaposema anakosea anakimbilia huruma ya Mashabiki ila endeleeni kumkubusha msiache, Simba atakapofikia level za Al Ahly, Sundowns basi ni eidha yeye abadilike au system imbadili, nadhani ni kanuni ya Maisha

Haji is a prisoner of his own history, nafikiri niifunge hii issue tunamfundisha wala hatuna chuki nae
 
View attachment 1783939

Soma haya madudu aliyoandika hapa chini. Nilishawahi kuandika humu kuwa Shaffi Dauda hafai hata kuchambua rede,wengi walinielewa sana. Narudi kwake tena kumshauri alinde heshima kidogo aliyobaki nayo. Hii stori ya kuitwa Mchambuzi takataka ni mambo ya kujitakia. Unafitinisha watu na taasisi mpaka inakera. Mambo ya fitina waachie wanawake

Alichoandika..............Binafsi sio muumini sana wa Seasons wala movies za part One mpaka Three, by nature nina uvivu wa kusoma sana au kukaa kwenye mada moja kwa muda mrefu, kutokana na changamoto ya muda

Mbona hapo Shafii ameandika kwa hoja, hekima na weredi. Nimesoma yote na kurudia kuisoma yote, sijaona kitu chochote kibaya alichokiandika.

Katika hili ninampa hongera Shafii Dauda.
 
Shaffii Mzee wa Fitina ,Kanjanja huyu asikusumbue, alivyoitwa Takataka wengi tulielewa kwa nini Hajji kamuita hivyo.
 
Haji ni mtu wa mipasho kichwani ni mwepesi, Viongozi wa Simba na Haji wanaendana. Simba inaendeshwa kiswahili ndiomaana Haji yupo pale kwakua Simba wana amini mipasho ya Haji inawabeba. Klabu ingekua inaendeshwa kwa Weredi wakina Kaduguda, Haji n.k wasingekuwepo pale.
 
View attachment 1783939

Soma haya madudu aliyoandika hapa chini. Nilishawahi kuandika humu kuwa Shaffi Dauda hafai hata kuchambua rede,wengi walinielewa sana. Narudi kwake tena kumshauri alinde heshima kidogo aliyobaki nayo. Hii stori ya kuitwa Mchambuzi takataka ni mambo ya kujitakia. Unafitinisha watu na taasisi mpaka inakera. Mambo ya fitina waachie wanawake

Alichoandika..............Binafsi sio muumini sana wa Seasons wala movies za part One mpaka Three, by nature nina uvivu wa kusoma sana au kukaa kwenye mada moja kwa muda mrefu, kutokana na changamoto ya muda

By the way niliwapa aina mbili za Haji Manara, nikawaelezea na wenye kuelewa basi wameelewa, Haji ukishamtoa kwenye kivuli cha Simba na kumuanika yeye peke yake ni muoga na Mjanja Mjanja

Unaweza kudanganya watu ila watu huwezi kuwadanganya kwa wakati wote, moja kati ya vitu anavyoamini ni kuwa Simba ipo ilipo kwa nguvu yake, well and good kwakuwa ni Muajiriwa its fair kuamini hivyo

Ila Simba kufanikiwa kisa maneno yake ni kujidanganya, Simba ilikuwa na mafanikio kabla hata yeye kufika Simba, 1970 huko Simba anacheza Nusu Afrika, 1990 huko Simba anacheza fainali shirikisho, Haji alikuwepo? Ni hoja mfu

Kuendelea kuamini brand ya Simba inalindwa kwa kelele zake huo ni utoto, Simba ina miaka mingi imejitengenezea brand yake na Mashabiki pamoja na wao Viongozi collectively wanaipeleka, kila Mtu akifanya kwa nafasi yake

Brand hailindwi kwa dhihaka wala maneno, brand inalindwa kwa Matokeo uwanjani, vikombe na mipango kazi, mambo yakienda vizuri kila Kiongozi atakachosema basi kinakuwa Lulu, kwa mafanikio ya Simba hata Mwandishi fresh from school akikaa pale ataongea na ataeleweka

Kinachomsumbua Haji ni lifestyle aliyochagua, kama ulipata kazi kwa kelele zako utalazimika kuishikilia nafasi kwa kelele, kama ulipata nafasi kwa Merit basi utaishikilia nafasi yako kwa Merit, hiyo ndio kanuni ya maisha, Haji ni muhanga wa lifestyle yake

Ila kwa kadri Simba inavyopiga hatua itaendelea kubadilika, kuna Uswahili umeachwa na haupo tena Simba, kuliwahi kuwa na makomandoo sasa hawapo tena, kulikuwahi kuwa na wapiga dili na sasa hawapo tena, itafika muda hawatohitaji kelele za Manara, believe me muda utafika

Tunaposema anakosea anakimbilia huruma ya Mashabiki ila endeleeni kumkubusha msiache, Simba atakapofikia level za Al Ahly, Sundowns basi ni eidha yeye abadilike au system imbadili, nadhani ni kanuni ya Maisha

Haji is a prisoner of his own history, nafikiri niifunge hii issue tunamfundisha wala hatuna chuki nae
Shafii siyo takataka tu ni mavi kabisa
 
Haji ni mtu wa mipasho kichwani ni mwepesi, Viongozi wa Simba na Haji wanaendana. Simba inaendeshwa kiswahili ndiomaana Haji yupo pale kwakua Simba wana amini mipasho ya Haji inawabeba. Klabu ingekua inaendeshwa kwa Weredi wakina Kaduguda, Haji n.k wasingekuwepo pale.
Huyu manara yupo pale kunibrand yeye ili aingie kuwa mbunge kama hammjui bichwa maji
 
Shafii dauda hoja zake zimejaa hekima na busara.

Issue sio hoja zake kwenye hiyo post! Issue ni pale anapopenda kuzusha habari za uongo na Fitna kwa Wachezaji hasa wa Simba.
  • Alimshambulia Babra bila ya Sababu yoyote kwa mkataba wa ZimberJr.
  • Mchezaji anayeongoza kuikejeli Simba alikuwa akimpost kwenye Mitandao na kumsifu, lakini siku alipoikejeli Yanga mara moja tu alimponda mitandaoni na kushinikiza achukuliwe hatua mpaka akafungiwa na TFF.
Alimshawishi Ramadhan Singano mpaka akahama Simba.
 
Mie nimemuelewa manara tangu mwanzo kabisa
katumia nguvu kubwa kuhamasisha watu ambao alilalamika hawaendi uwanjani na siku ya mechi watu wakajaa haswa haswa
mechi kutochezeka ni kumvunja moyo manara
alitegemea watu waone uhalisia ila hao matakataka wanailaumu tff sijui kanuni kanuni

hata hivyo shafih ni kinachotoa mavi
 
Haji ni mtu wa mipasho kichwani ni mwepesi, Viongozi wa Simba na Haji wanaendana. Simba inaendeshwa kiswahili ndiomaana Haji yupo pale kwakua Simba wana amini mipasho ya Haji inawabeba. Klabu ingekua inaendeshwa kwa Weredi wakina Kaduguda, Haji n.k wasingekuwepo pale.

Hapa ndiyo Yanga munapofeli na kuonekana hamuna akili kabisa.
Sasa nyinyi Musiyoendesha Timu kiswahili onesheni hayo mabadiliko ili wengine wajifunze kupitia kwenu.
 
View attachment 1783939

Soma haya madudu aliyoandika hapa chini. Nilishawahi kuandika humu kuwa Shaffi Dauda hafai hata kuchambua rede,wengi walinielewa sana. Narudi kwake tena kumshauri alinde heshima kidogo aliyobaki nayo. Hii stori ya kuitwa Mchambuzi takataka ni mambo ya kujitakia. Unafitinisha watu na taasisi mpaka inakera. Mambo ya fitina waachie wanawake

Alichoandika..............Binafsi sio muumini sana wa Seasons wala movies za part One mpaka Three, by nature nina uvivu wa kusoma sana au kukaa kwenye mada moja kwa muda mrefu, kutokana na changamoto ya muda

By the way niliwapa aina mbili za Haji Manara, nikawaelezea na wenye kuelewa basi wameelewa, Haji ukishamtoa kwenye kivuli cha Simba na kumuanika yeye peke yake ni muoga na Mjanja Mjanja

Unaweza kudanganya watu ila watu huwezi kuwadanganya kwa wakati wote, moja kati ya vitu anavyoamini ni kuwa Simba ipo ilipo kwa nguvu yake, well and good kwakuwa ni Muajiriwa its fair kuamini hivyo

Ila Simba kufanikiwa kisa maneno yake ni kujidanganya, Simba ilikuwa na mafanikio kabla hata yeye kufika Simba, 1970 huko Simba anacheza Nusu Afrika, 1990 huko Simba anacheza fainali shirikisho, Haji alikuwepo? Ni hoja mfu

Kuendelea kuamini brand ya Simba inalindwa kwa kelele zake huo ni utoto, Simba ina miaka mingi imejitengenezea brand yake na Mashabiki pamoja na wao Viongozi collectively wanaipeleka, kila Mtu akifanya kwa nafasi yake

Brand hailindwi kwa dhihaka wala maneno, brand inalindwa kwa Matokeo uwanjani, vikombe na mipango kazi, mambo yakienda vizuri kila Kiongozi atakachosema basi kinakuwa Lulu, kwa mafanikio ya Simba hata Mwandishi fresh from school akikaa pale ataongea na ataeleweka

Kinachomsumbua Haji ni lifestyle aliyochagua, kama ulipata kazi kwa kelele zako utalazimika kuishikilia nafasi kwa kelele, kama ulipata nafasi kwa Merit basi utaishikilia nafasi yako kwa Merit, hiyo ndio kanuni ya maisha, Haji ni muhanga wa lifestyle yake

Ila kwa kadri Simba inavyopiga hatua itaendelea kubadilika, kuna Uswahili umeachwa na haupo tena Simba, kuliwahi kuwa na makomandoo sasa hawapo tena, kulikuwahi kuwa na wapiga dili na sasa hawapo tena, itafika muda hawatohitaji kelele za Manara, believe me muda utafika

Tunaposema anakosea anakimbilia huruma ya Mashabiki ila endeleeni kumkubusha msiache, Simba atakapofikia level za Al Ahly, Sundowns basi ni eidha yeye abadilike au system imbadili, nadhani ni kanuni ya Maisha

Haji is a prisoner of his own history, nafikiri niifunge hii issue tunamfundisha wala hatuna chuki nae
Mimi ni Shabiki na mwanachama mwaminifu wa Simba SC lakini katika hili Shaffih kaandika points tupu, sijaona tatizo.
 
Back
Top Bottom