NBA: Anguko la Lebron James-Rising of new star ,Giannis

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,912
2,000
The Greek freek Giannis antekounmpo anakwenda kumpumzisha gwiji Lebron soon. Lebron asisubiri aibu ang'atuke mapema awache damu changa

Screenshot_20210719-181718.png
 
Tall Guy fam

JF-Expert Member
Jan 16, 2017
868
1,000
The Greek freek Giannis antekounmpo anakwenda kumpumzisha gwiji Lebron soon. Lebron asisubiri aibu ang'atuke mapema awache damu changa

View attachment 1860056
Huwezi tu ukaangalia one final series (*tena ambayo bado haijaisha) ukaconclude "Giannis anakwenda kumpumzisha gwiji LeBron". Mind you, LeBron ametolewa kwa sababu ya injuries if AD was healthy chances are angekuwa kwenye finals right now. Pili kama kweli unafatilia kikapu utakubaliana na mimi kwamba endapo Kyrie Irvin asingeumia Bucks wasingefika finals. LeBron is one of The Greatest Of All Time (GOATs) kwenye kikapu, sure his dominance kwenye mechi imepungua with age, the guy is 36 now but he still is the face of the NBA at least mpaka astaafu rasmi.

Kuna great players kama KD ambaye in my opinion he has what it takes kurithi mikoba from LBJ. Nakubaliana na wewe kwamba Giannis anayo nafasi, ila he needs to prove himself first. Washinde hii series, apate FMVP yake na Ring, then ashinde finals nyingine na nyingine. Aonyeshe uwezo wa ku carry his team against opponents who are at their full capacity etc. etc.
 
Small team vs bigger team. Mby city ikifanya maajabu hata kuwa ya pili tu kwa sababu kuna mtu wa ajabu kwa nini isistaajabishe?
 
Tall Guy fam

JF-Expert Member
Jan 16, 2017
868
1,000
Small team vs bigger team. Mby city ikifanya maajabu hata kuwa ya pili tu kwa sababu kuna mtu wa ajabu kwa nini isistaajabishe?
Hapa hatuzungumzii kustaajabisha mkuu point ni Giannis sio tu kwamba hajampita LeBron, bali hata kumfikia bado sana. Usubiri kama miaka 10 ijayo ndio utapata jibu, sio tu kwasababu he is about to win a finals series for the first time in his career basi he's now the best NBA player.

Na pia naomba ufafanuzi kwenye mfano wako Small team vs Bigger team kwamba Bucks ni small team? bigger ni ipi?
 
VeronicaAmadu

JF-Expert Member
May 4, 2011
308
500
The
giphy.gif

Greek Freak ananyanyua ndoo leo masaa machache yajayo. He is so energetic and so entertaining to watch. Akisaidiana na Middlelton na Holiday hiyo trio ni moto sawa na jehanamu
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,589
2,000
Good luck 🤞🏾 and all the best. I am rooting for Phoenix tonight to force game 7. Yes it can be done if the whole team play with determination and purpose (0 turnovers 😂😂😂😂)

Ahahaha, nipo mkuu, nilikua frustrated as a former Cavs fan jinsi Curry alikua anatunyanyasa nikasusia nba kabisa.
Now my new team Bucks tunasubiri masaa machache tunafungua champagne na party inaanza
 
VeronicaAmadu

JF-Expert Member
May 4, 2011
308
500
Good luck and all the best. I am rooting for Phoenix tonight to force game 7. Yes it can be done if the whole team play with determination and purpose (0 turnovers )

I feel you Honestly anything can happen, hizi team hazijapishana sana, sema naona kama Bucks they want it more. Anyways may the best team win. All the best
 
  • Love
Reactions: BAK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,589
2,000
Yeah! But the Bucks have a home court advantage. IMO that will get them through tonight. All the best to you too.

I feel you Honestly anything can happen, hizi team hazijapishana sana, sema naona kama Bucks they want it more. Anyways may the best team win. All the best
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,912
2,000
Hapa hatuzungumzii kustaajabisha mkuu point ni Giannis sio tu kwamba hajampita LeBron, bali hata kumfikia bado sana. Usubiri kama miaka 10 ijayo ndio utapata jibu, sio tu kwasababu he is about to win a finals series for the first time in his career basi he's now the best NBA player.

Na pia naomba ufafanuzi kwenye mfano wako Small team vs Bigger team kwamba Bucks ni small team? bigger ni ipi?
Kama hajachukua kombe kwa miaka 50 anakuwaje mkubwa?
Nakuhakikishia Giannis akitoka pale, hilo kombe watalisikia kwenye redio labda wampate mwsmba mwingine.Lebron wapi timu kubwa kwa price and value of players.
Suns is a team work while Bucks is Giannis.
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,912
2,000
Ahahaha, nipo mkuu, nilikua frustrated as a former Cavs fan jinsi Curry alikua anatunyanyasa nikasusia nba kabisa.
Now my new team Bucks tunasubiri masaa machache tunafungua champagne na party inaanza
Mambo tayari, mkeka ushachanika wasenge wanaroho ya paka, walipi catch 70- 70 niliamua kulala nikajua hapo tayari phonex hatarudi nyuma, bucks walistack kwenye point 77 zaidi ya dk 5. Inaoneshaa bucks mzigo wote walimtupia Giannis kama sisi tunavyomtupiaga Samata, ingeweza kuwa cost.
Mungu yupo upande wa Giannis hata hivyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom