Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kimeanza kunuka huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna comment moja nlisema huyu pimbi ataanikwa soon!! Mambo ndio yanatokota na wote mtabaki vivywa wazi. Ile kashfa ulipewa na...
3 Reactions
104 Replies
7K Views
TBC na TFF wameingia makubaliano yenye thamani ya Tshs 3.5bilioni ambapo TBC watakuwa na haki xa kutangaza mpira wa ligi kuu kwa upande wa Redio. Makubaliano hayo yatakuwa no kwa miaaka 10 ambapo...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Makocha wawili wa Belarus wameondolewa Vibali vya Olimpiki kufuatia madai ya kujaribu kumlazimisha Mwanariadha kuondoka kwenye Michuano inayoendelea Tokyo Nchini Japan Kamati ya Kimataifa ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Dah inatisha kwa kweli wanachambua mshahara wa Messi kuna jamaa anasema kwamba mshahara wa mwezi wa Messi una finance bajeti ya nchi ya Tanzania, dah nimejisikia hata kulia inakuwaje watu ma...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa kifupi sana ,niende kwa mada, Mimi namkubali Mh. Kigwa na kwa hili la Mo na Simba SC na bilioni zetu 20, kuna mambo ambayo ukimsikiza Mo ktk interview zake utagundua kwamba hapendi kuhojiwa...
11 Reactions
46 Replies
5K Views
Toka jana kumekuwa na Mjadala mzito sana kuhusiana na Bil. 20 ambazo MO alitakiwa awe amezitoa tokana na kuchukua 49% ya hisa za Simba lakini hili Jambo SIASA imetawalaa kuliko uhalisiaa na ndo...
11 Reactions
62 Replies
6K Views
Kocha mashuhuri nchini bwana Hassan Banyai amefariki dunia leo. Enzi za uhai wake alikuwa ni miongoni mwa makocha waliopandisha timu nyingi daraja kama vile Mwadui na Njombe mji. Pia amewahi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Club ya Simba imepafanikiwa kumnasa kinda wa timu ya Nyssa big bullet ya nothing Malawi [emoji1156] kwa mkataba wa miaka mitatu. Dili hilo limefanikishwa na Hans Pope Zakaria aliyetua Malawi...
5 Reactions
67 Replies
13K Views
Kama umepata bahati ya kumsikiliza Haji Manara leo, ukaweka mahaba pembeni lazima utakubaliananae kuwa kuna mahala hapako sawa ndani ya Club ya Simba. Lengo la Haji halikuwa kuibomoa Simba, na...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Waswahili wana usemi '"Jasiri haachi asili" hivyo wanachopitia Simba kwa sasa kupitia aliyekuwa anafanya kazi hapo ni fundisho tosha kuwa mkae nae kwa tahadhari kwani si Mtu wa staha. Mtu aliye...
13 Reactions
44 Replies
3K Views
Tangazo la Barcelona kwamba mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 34, hatabakia kwenye klabu hiyo ''limefungua mlango wa uhamisho wa kushtua " katika Manchester City. (Manchester Evening...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Alianza mzee mzima Hamis Kilomoni a.k.a HK akamsumbua Mwamedi mpaka akatamani kukimbia mji 😄😄😄 Juzi tena Hamis Kigwangalla a.k.a HK nae kalianzisha had Mwamedi akatamani kujitoa kuifadhili Simba...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
TAARIFA YA MCHAKATO WA SIMBA KWENDA KWENYEMABADILIKO. - Tume ya Ushindani (FCC) haihusiki na ucheleweshwaji wa mchakato wa Mabadiliko ndani ya Klabu ya Simba SC kama ilivyoelezwa na...
7 Reactions
131 Replies
13K Views
Mumfuate anakoenda. Simba ni kubwa sana. Manara alikuwa mtu mdogo aliyekuzwa na Simba na baadaye akadhani yeye ni Simba pia. Mimi sikuwa napenda aina ya usemaji wake muda mrefu sana. Nlikuwa...
12 Reactions
13 Replies
1K Views
Klabu ya Yanga imefanikiwa kumsainisha beki Djuma Shabani akiwa mchezaji huru Kwa mkataba wa miaka miwili. Kulikuwa na tetesi kuwa huenda Djuma Shabani asingekamilisha dili hilo na badala yake...
4 Reactions
14 Replies
5K Views
Mimi ni mmoja wa watu ninaokubali kabisa kuwa Manara alikuwa 'very unprofessional' mara nyingi sana. Na hata hiyo nafasi nimewahi Shauri Sana atolewe ..yeye na Jerry Muro niliwahi shauri watolewe...
53 Reactions
160 Replies
12K Views
Juzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangalla alionekana akiwanadi ng'ombe wake Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya...
24 Reactions
294 Replies
31K Views
Kauli za Waandishi wa Habari Haji Manara alipokuwa Msemaji wa Simba SC "Haji Manara ajirekebishe kwani tumeshamchoka na Vitendo vyake vya Kutudhalilisha huku akituita baadhi yetu ni Takataka...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Wapenzi na mashabiki wa Simba wameridhia Mo kumiliki timu ilimradi wanapata furaha na makombe hawatarajii na hawategemei kama Simba itakuja kushindwa sidhani kama wataweza kumvumilia pale mambo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wasalaam, Ndugu wanajf naomba kupata updates za kombe la Kagame huko linavyoendelea na nikiwa shabiki lialia wa Yanga naomba matokea bila kufichwa!! Nasubiria na updates za usajili kutoka club...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom