Ukifika Jimbo la Wisconsin Nchini Marekani, kila corner utakoyopita basi lazima utakutana na na logo yenye herufi "G"iliyozungukwa na rangi ya kijani.
Herufi "G" inasimama badala ya neno Green...
Hivi karibuni kuna mwandishi mmoja wa habari za michezo aliandika kuwa eti Simba inasajili sana sana Uganda na Yanga inasajili Congo. Kukatokea viandishi uchwara vikataka kuanza kupandikiza mind...
Hamna kitu nimeumia kama kuona taarifa Instagram za wachambuzi wa soka bongo kuwa Chama tayari kashapigwa bei na picha ikimwonesha yupo na Tuisila Kisinda kwenye uzi wa waarabu.
Mo sijui...
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamemsajili kiungo Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman kutoka klabu ya Al Hilal ya Sudan.
Shaiboub ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Sudan na amekuwa kiungo bora...
Picha ikimuonyesha Clatous Chama na Tuisila Kisinda wakiwa katika jezi za mazoezi za RS Berkane muda mchache kabla ya kuanza mazoezi hiyo jana!
Picha kwa hisani ya majasusi wetu waliopo huko...
Wachambuzi hao wanasema kwa sasa ni kama wanadhalilishwa sana. Kila wanapoenda kupost Insta kuwa Mchezaji X anasajiliwa Simba wanakuja kukuta siye.
Hata wanaposema kuwa Simba itamtangaza mchezaji...
Leo wakati Chama akiwa Live insta alimsifia Haji kitendo kile kikamkera Bilionea Moo Dewji. Dewji akamtolea uvivu Chama na kumuulza "Haji ndiye aliyekulipia ada ya uhamisho?" Kisha Dewji...
Wanakijiji wa Kijiji Cha Pombambili, wamefanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi kwenda PSG.
Kongamano limefanyika leo kijijini hapo na kuhudhuriwa na mashabiki wengi sana wa Barcelona wakiwa...
Yanga imemuuza Kisinda kwa RS Berkane kwa Dola 150,000 (Sawa na Tsh MIL 347.8)
Berkane pia watagharamia kambi ya 'Pre Season' ya Yanga itakayowekwa katika kituo cha michezo cha KING Mohammed VI...
Kama taarifa hii itathibitika basi Shaaban Djuma wa AS Vitta Club atakuwa anaelekea RS Berkane ya Morocco.
Ikumbukwe hivi majuzi miamba ya Jangwani ilijinasibu kumpata kwa kitita cha shs bilioni...
Wakuu nimekuwa najiuliza kwanini wachezaji wa kibongo bado wanafeli kutusua kucheza mpira nje ya nchi kama mataifa mengine.
Kila mwaka hatuuzi mchezaji wa ndani kwenda kucheza nje na ikitokea...
Ni jambo le Kheri kwa Taifa kwakua sasa Tanzania inatoa timu 4 kushiriki mashindano ya kimataifa
Mbili Club bingwa na mbili Shirikisho.
Lakini nafasi hizi zote zinachukuliwa na timu za Tanzania...
Kwa yanayoendelea kipindi hiki kwenye soka letu.. Ni dhahiri bado tuna ushabiki wa kijima.
Ila lawama zote nazipeleka kwa hawa wanaojiita wachambuzi na waandishi wetu wa michezo. Ambao...