Yaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana!
Tangu jumatatu wiki hii vipindi vya leo tena na sports xtra havifanyiki studio...
Leo nilikua natembea mitaa mbali mbali ya jiji la Dar. Kusema ukweli mwaka huu amsha amsha huku mtaani si mchezo.
Hongera kwa uongozi wa Simba kwa kujipanga safari hii maana Simba Day ni tamasha...
1. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC wakate Tamaa na wasiende Uwanjani Klabu ikose Mapato...
Haiingii Akilini wakati wa Wiki ya Mwananchi inayohusisha Klabu mbovu ya Yanga upatikanaji wa Tiketi kwa njia ya N-CARD ( Mtandao ) ulikuwa hausumbui ila kwa Wiki hii ya Simba Day mpaka leo kila...
Nikiwa kama mshabiki wa simba nawapa pole wote mnaoshindwa kununua tiketi za Jumapili, msiwe na wasiwasi ikifika Jumatatu wahusika watarudisha system yao vizuri
Mwaka jana walifanikiwa ku...
Nina mtoto kamaliza darasa la saba mwaka huu,anatamani sana kuhudhuria na kushuhudia simba day,
Nina uwezo wa kulipua tiketi za 30000 .
Lakini high yangu ni sijui kama utaratibu wa nafasi za kukaa...
Klabu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam na shirika la ndege Tanzania, ATCL zimeingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani milioni mianne.
Katika makubaliano hayo, Shirika la ndege...
Yanga yangu why haipo serious kama wapinzani wetu.
Wiki nzima hatuna hata mechi ya kirafiki.
Mnyama alikuwa na timu nzuri ila alipumzika wiki nzima akaenda kushtukizwa 4 kwa 0 pale soweto msimu...
Mwanamichezo wa Kwanza kaamua Kuitangaza Tanzania katika Shati lake Kubwa, zuri na lililobuniwa vyema kwa Kuandika Maandishi makubwa ya VISIT TANZANIA.
Mwanamichezo wa Pili kwa Akili zake...
MTANI UNATUANGUSHA SANA.
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Mtakoma Chama kaondoka
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Trh 28 kutakuwa na Suprise
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Suprise ni Luis Miquissone...
Ni mkasa wa aina yake, dakika kadhaa kabla ya mchezo wa fainali ya kombe la dunia mwaka 1998 pale nchini Ufaransa, katika mechi iliyokuwa inazikutanisha Ufaransa Vs Brazil kulitokea tukio la...
Huu ndio ujumbe uliopo huko Instagram, ambapo Mabingwa wa Nchi, Simba Sports Club kwa makubaliano maalum na Wizara ya Utalii, watavaa jezi zao zenye maandishi, "Visit Tanzania" lengo ni kutangaza...
16 September 2021
Arusha, Tanzania
Mechi ya kujiweka sawa pre season kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani yatakayoanza tarehe 25 september 2021 league ya Tanzania na baadaye michuano ya...
Makocha wote wa Simba Gomez na Matola hawakuwa na sifa za kuwa makocha wa timu kubwa kama Simba kwa mujibu wa mashindano ya CAF na FIFA hadi hadi kulazimika kuzuiliwa na CAF kwenye mashindano...
Katika kuonyesha kuwa lile Rungu la Kichwa lililompasua Kichwani na Komandoo wa Yanga SC Uwanja wa Mkapa limemchangasha Ubongo sasa Msemaji wa Rivers United FC Charles Mayuku kaja Pigo la...
Kuelekea siku ya Simba day wewe mpenzi wa soka Nchini je unamajibu ya maswali haya?
1, Je simba itaendelea kuwa bora kama msimu uliopita?
2, maingizo mapya kikosini yataleta tija kama matumaini...