Amsha Amsha Simba Day mwaka huu si Mchezo

wajibisha

Member
May 16, 2021
90
150
Leo nilikua natembea mitaa mbali mbali ya jiji la Dar. Kusema ukweli mwaka huu amsha amsha huku mtaani si mchezo.

Hongera kwa uongozi wa Simba kwa kujipanga safari hii maana Simba Day ni tamasha kubwa nchini.

Kila Kona ni Simba Day. Natamani ifike hiyo tarehe 19 tukuburudike wana msimbazi.

Msukule anateseka akiwa wapi sijui
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,436
2,000
Kwakweli Simba wamejipanga sana,wanafanya mambo kwa viwango vikubwa.ata mashabiki wa Simba wapo smart sana.
Naona msukule analalamika Instagram kwamba yeye hajatumia nguvu kubwa kafanya press 3 tu kajaza uwanja ,eti Simba inatumia nguvu kubwa.

Huyu jamaa amekuwa chizi ,tulisema Yanga ikishinda au kujaza uwanja lazima ajisifu ni yeye.

Sasa anataka Simba isitumie nguvu kujaza uwanja ? Kwanza zile tickets ni biashara hakuna mwandaaji anataka hasara ,na lazima kutumie nguvu kufanikisha kitu.

Msukule anaaza kuwehuka
 
redio

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,686
2,000
Simba ata itangaze kuingia uwanjni Bure bado hawawezi kujaza uwanja.Ayo Mambo wawaachie wananchi.
 
NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
11,043
2,000
Naona msukule analalamika Instagram kwamba yeye hajatumia nguvu kubwa kafanya press 3 tu kajaza uwanja ,eti Simba inatumia nguvu kubwa.

Huyu jamaa amekuwa chizi ,tulisema Yanga ikishinda au kujaza uwanja lazima ajisifu ni yeye.

Sasa anataka Simba isitumie nguvu kujaza uwanja ? Kwanza zile tickets ni biashara hakuna mwandaaji anataka hasara ,na lazima kutumie nguvu kufanikisha kitu.

Msukule anaaza kuwehuka
Ajijui kama hajui,anavyofanya ndo anaizidi kuipa credit Simba hasa kwenye Simba day.alaivyoinanga jezi ya Simba ndo kaipa promo watu wakawa wanagombania.
 
reymage

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
928
1,000
Naona msukule analalamika Instagram kwamba yeye hajatumia nguvu kubwa kafanya press 3 tu kajaza uwanja ,eti Simba inatumia nguvu kubwa.

Huyu jamaa amekuwa chizi ,tulisema Yanga ikishinda au kujaza uwanja lazima ajisifu ni yeye.

Sasa anataka Simba isitumie nguvu kujaza uwanja ? Kwanza zile tickets ni biashara hakuna mwandaaji anataka hasara ,na lazima kutumie nguvu kufanikisha kitu.

Msukule anaaza kuwehuka
Ana weweseka sana yule!
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,436
2,000
Na bado watapigwa Nigeria,ngao ya jamii na kwenye mechi za ligi.ndo atajua kama yeye kapeleka gundu kwa misukule f.c
Kule wakifanyiwa tu uhuni mdogo wa Makambo na feisal kupatikana na Corona kazi inakuwa imeisha hata dk 90 hazijaanza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom