Dada (Barbra) anaupiga mwingi

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
20,692
20,452
Picha inajieleza

kwa hisani ya blogu ya Saleh Jembe

1631873242256.png
 
Huo mkataba upo mezani kwa Yanga pia,babra kaona Yanga wamekodisha ndege ya atcl kwenda nayo nigeria ndio kafosi watangaze haraka wa mikia ili ionekane hapo baadae Yanga kawaiga mikia
Yanga hii iliyokuwa inaomba msaada kwa wananchi waichangie ili ikodie ndege ili Hali wanajua mashabiki hawataingia uwanjani. Hiyo timu mbovu hata Azam anajuta kuingia nao mkataba,timu inaishia kucheza ligi ya ndani tu
 
Azam wale ni wapinzani wa MO products kwahiyo lazima wafanye kila liwezalo (AZAM THE BIGGEST COMPETITOR NI METL (MO)) kwahiyo lazima wafanye kila figisu figusi kuhakikisha wana waangusha wa WAPINZANI wao ambao ni threat kwao .huoni HAJI kapewa brand new Land cruise prado na ndio chawa wao mkubwa.
 
Huo mkataba upo mezani kwa Yanga pia,babra kaona Yanga wamekodisha ndege ya atcl kwenda nayo nigeria ndio kafosi watangaze haraka wa mikia ili ionekane hapo baadae Yanga kawaiga mikia

dah kwa hiyo Barba anaizidi Nguvu serikali kupitia ATCL kuwalazimisha watangaze tena ofcn kwa ATCL

na nimemsikia CEO wa ATCL kasema
vilabu vingine vinakaribishwa kuleta proposal kama Yanga wangekuwa kwenye mazungumzo kusingekuwa na cha kuficha maana sio dhambi..

hata CEO wa ATCL kasema anawaahukueu simba kwa uvumilivu toka Mwez wa Nne walikuwa wameanza mazungumzo leo mwez wa tisa .. sasa Yanga kasafiri mara ngapi toka mwez wa nne kwa nn asingelazimisha kipind hicho

anyway Mi naona hata club zote zikiingia mkataba wa namna hiyo ni sawa.. sababu ukiangalia huo mkataba faida kwa club ni kupunguza gharama sio kwamba ATCL atampa simba pesa ila Simba gharama zao za Safari zitapungua kutokana na tiket za bure na tiket za discount

kama walikuwa wanatumia 100m average kwa safar moja basi wanaweza wakajikuta wamepunguza hadi 70m kwa safar na wakipata milage kwenye vipeperushi vya ATCL na matangazo yake

huku ATCL nao wakipata Milage kwenye vipeperushi vya Simba na matangazo yake na pia wakijihakikishia wateja wakudumu kwa
miaka miwili..
 
Umeupga mwingi
 
Hili ni jambo jema sana kwa Atclna Simba,ila dah kwa atcl itabidi wajirekebishe kwenye ratiba zao ziwe zinaenda kwa wakati,Atcl,Ikija tokea Simba akaja kupata nafasi za Caf champion hatua ya makundi,robo,nusu na fainal kama msimu uliopita Atcl watafaidika sana kibiashara,
 
Huo mkataba upo mezani kwa Yanga pia,babra kaona Yanga wamekodisha ndege ya atcl kwenda nayo nigeria ndio kafosi watangaze haraka wa mikia ili ionekane hapo baadae Yanga kawaiga mikia
🤣🤣🤣🤣 bimdada anapambana kweli kutaka kujilinganisha na gwiji senzo mbatha lakini anajikuta amepigwa knok out mbaya sana
 
dah kwa hiyo Barba anaizidi Nguvu serikali kupitia ATCL kuwalazimisha watangaze tena ofcn kwa ATCL

na nimemsikia CEO wa ATCL kasema
vilabu vingine vinakaribishwa kuleta proposal kama Yanga wangekuwa kwenye mazungumzo kusingekuwa na cha kuficha maana sio dhambi..

hata CEO wa ATCL kasema anawaahukueu simba kwa uvumilivu toka Mwez wa Nne walikuwa wameanza mazungumzo leo mwez wa tisa .. sasa Yanga kasafiri mara ngapi toka mwez wa nne kwa nn asingelazimisha kipind hicho

anyway Mi naona hata club zote zikiingia mkataba wa namna hiyo ni sawa.. sababu ukiangalia huo mkataba faida kwa club ni kupunguza gharama sio kwamba ATCL atampa simba pesa ila Simba gharama zao za Safari zitapungua kutokana na tiket za bure na tiket za discount

kama walikuwa wanatumia 100m average kwa safar moja basi wanaweza wakajikuta wamepunguza hadi 70m kwa safar na wakipata milage kwenye vipeperushi vya ATCL na matangazo yake

huku ATCL nao wakipata Milage kwenye vipeperushi vya Simba na matangazo yake na pia wakijihakikishia wateja wakudumu kwa
miaka miwili..
Wewe yanga uwa awakurupuki kuingia mikataba lazima waupitie vya kutosha ndo wausaini ata Kama upo mezani kwao, kuna klabu moja ilikurupuka ikasaini mkataba wa haki za matangazo ya tv inapewa 350 kwa mwaka🤣🤣🤣🤣 yanga ilishatoka uko chini ya CEO mwenye vyeti origino senzo mbatha, kwaiyo msije mkashangaa mkataba wa yanga unakuwa tofauti kabisa na wa dada yet u🤣🤣🤣🤣
 
Wewe yanga uwa awakurupuki kuingia mikataba lazima waupitie vya kutosha ndo wausaini ata Kama upo mezani kwao, kuna klabu moja ilikurupuka ikasaini mkataba wa haki za matangazo ya tv inapewa 350 kwa mwaka yanga ilishatoka uko chini ya CEO mwenye vyeti origino senzo mbatha, kwaiyo msije mkashangaa mkataba wa yanga unakuwa tofauti kabisa na wa dada yet u
haya chief ngoja tusubir hayo yanayokuja ... Sio mbaya ukiwa mkataba bora zaid ya huu... Maana yake Basi Simba na wengine watajifunza

Ila bado nataka hili liwe zoez endelevu kwa clubs zote maana hata team ya taifa haina tangazo la utalii
 
dah kwa hiyo Barba anaizidi Nguvu serikali kupitia ATCL kuwalazimisha watangaze tena ofcn kwa ATCL

na nimemsikia CEO wa ATCL kasema
vilabu vingine vinakaribishwa kuleta proposal kama Yanga wangekuwa kwenye mazungumzo kusingekuwa na cha kuficha maana sio dhambi..

hata CEO wa ATCL kasema anawaahukueu simba kwa uvumilivu toka Mwez wa Nne walikuwa wameanza mazungumzo leo mwez wa tisa .. sasa Yanga kasafiri mara ngapi toka mwez wa nne kwa nn asingelazimisha kipind hicho

anyway Mi naona hata club zote zikiingia mkataba wa namna hiyo ni sawa.. sababu ukiangalia huo mkataba faida kwa club ni kupunguza gharama sio kwamba ATCL atampa simba pesa ila Simba gharama zao za Safari zitapungua kutokana na tiket za bure na tiket za discount

kama walikuwa wanatumia 100m average kwa safar moja basi wanaweza wakajikuta wamepunguza hadi 70m kwa safar na wakipata milage kwenye vipeperushi vya ATCL na matangazo yake

huku ATCL nao wakipata Milage kwenye vipeperushi vya Simba na matangazo yake na pia wakijihakikishia wateja wakudumu kwa
miaka miwili..
Manara hii kapost juzi jana mikia mmetangaza mkutano fasta tena,

Screenshot_20210917-151341_Instagram.jpg
 
Wewe yanga uwa awakurupuki kuingia mikataba lazima waupitie vya kutosha ndo wausaini ata Kama upo mezani kwao, kuna klabu moja ilikurupuka ikasaini mkataba wa haki za matangazo ya tv inapewa 350 kwa mwaka yanga ilishatoka uko chini ya CEO mwenye vyeti origino senzo mbatha, kwaiyo msije mkashangaa mkataba wa yanga unakuwa tofauti kabisa na wa dada yet u

uwa=huwa, ata=hata,kwaiyo=kwahiyo.
 
Back
Top Bottom