Jengo la yanga

sumar

Member
Jun 15, 2008
36
0
Mzee Karume alikujengeeni jengo hilo zuri tu bureee! Mbona mwashindwa kulitunza pamoja na mihela yote mnayoimwaga. Sijui kwa nini mzee Karume asiwajengee kama hilo Miembeni. Mna bahati mwaikejeli.
 
Kawaida yetu KUVITUNZA HATUJUI Manji anataka ubunge 2010 akipata hana haja ya YANGA
Yanga ni timu ya JK njia ya kua karibu naye anataka kumonyesha Mengi wa ipp NI MAHELA YA NSSF
 
Kawaida yetu KUVITUNZA HATUJUI Manji anataka ubunge 2010 akipata hana haja ya YANGA
Yanga ni timu ya JK njia ya kua karibu naye anataka kumonyesha Mengi wa ipp NI MAHELA YA NSSF

Kidume
was you trying to say something?????
for sure sijakupata kamwe
 
kuna mahali nilisikia mtu mmoja akisema 'Yanga imerogwa na aliyeiroga kafa',inaelekea ni kweli maana toka mzee Mangara afurumishwe mwaka 1976 hata siku moja hapajawahi kutulia pale,ngoja tuone labda Manji atakarabati.
 
hilo jengo linatia aibu kwa kweli!Tusisubiri manji atukarabatie naamini YANGA ina wapenzi katika kila nyanja!kwa nini wanachama wa yanga kwa mfano wasilikarabati tu wenyewe kwa mfano kupaka rangi kuna wanachama naamini ambao ni mafundi kwa nini wasijitolee?na ambao si mafundi wanaweza kutoa michango ya kununua vifaa vya ujenzi ili kulikarabati jengo la YANGA!kweli hii ni aibu
 
Mzee Karume alikujengeeni jengo hilo zuri tu bureee! Mbona mwashindwa kulitunza pamoja na mihela yote mnayoimwaga. Sijui kwa nini mzee Karume asiwajengee kama hilo Miembeni. Mna bahati mwaikejeli.

Mkuu Simba Dume,

Mzee Karume hakujenga jengo la Yanga. Aliwapa Yanga Tshs.2,000,000 na baadae akawapa na simba Tshs.500,000. Yanga na Simba walizitumia hizo fedha kujijengea hayo majengo.

Ni kweli unalolisema kuhusu utunzaji wa majengo hayo. Lakini, kusiwapo masimango kuhusu kupewa hizo fedha. Yanga hawakuomba zile pesa, Mzee Karume alizitoa kwa hiari yake. Afadhali hata Simba waliopewa baada ya manung'uniko yao.

Kabla ya kulalamikia mihela inayomwagwa na Yanga lazima kwanza ujue zilitumika hela ngapi kuleta hizo hela zilizomwagwa. Tumia pesa kupata pesa zaidi.
 
Mheshimiwa Kwaminchi
Tunaongelea Utunzaji Wa Jengo La Yanga Tunajua Wazi Pesa Zilitolewa Na Mzee Karume Jengo Limeshajengwa Sasa Matunzo Je Aje Mzee Karume Kulifanyia Utunzaji
Wahenga Walisema Kuzaa Si Kazi Kazi Kulea
That Is The Way Watz Tulivozoea Hata Barabara Zetu Wafadhili Wana Jenga Sisi Kutunza Hatuwezi
Halafu Zikiharibika Tunalia Kwa Wafadhili
 
Nyie hamjui, LILE JENGO NI GUEST BUBU!!!! likikarabatiwa, watu wakale wapi???

Kuna wazee wanatoza ushuru pale!! Piteni mida ya saa mbilimbili usiku!!!!
 
Viongozi Waliopo Sasa Hivi Tena Wanaongozwa Na Msomi Lakini Haelewi Anaelekea Wapi Na Timu ,kila Kukicha Mlangoni Kwa Tajiiri Hata Vichwa Vyao Vimesimama Kuwaza
 
Gulamali Aliwahi Kulipaka Rangi Na Kuandika Maandishi Yaliyokuja Kukatazwa
 
Nilisikia hivi karibuni mtunza hazina wa YANGA falcon aliomba kulikarabati lile jengo akanywimwa idhini sijui vp hapo kuna kauchawi nini wameweka pale??Kama mtu anaomba atoe msaada wa kukarabati jengo kisha wanamnyima sijui wanamaanisha nini hapo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom