Oscar Oscar, mwandishi anayesumbuliwa na mafanikio ya Yanga

Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,128
1,842
Wakuu habari,kimsingi sielewi km ni sahihi kwa anachokifanya huyu mwandishi,kutwa kucha kuikejeli Young Africans. Kwenye utaratibu huo wa post zake za kuitweza brand kubwa ya Yanga kuna matangazo ya Dstv,M_bet na Asas.

Mbali na kutafuta umaarufu mavi,mwandishi huyu anaitumia yanga kibiashara bila yanga yenyewe kujua,kumbuka matangazo hayo hayako bure kwenye hizo 'memez' za huyu mwandishi.

Huenda akawa ana_post na memez za kuviponda vilabu vingine but ni kwa % ndogo sana ukilinganisha na post zinazoihusu Yanga.
Kama anafanya kwa kutumwa au kwa utashi wake basi ajue hili halimkuzi ki_tasnia bali linamfanya kuchukuliwa 'one of the hopeless pundit' na sisi wadau wa soka,namshauri aache kabla wananchi hawajaamka na kuanza kumshughulikia.

IMG-20211005-WA0018.jpg
IMG-20211006-WA0002.jpg
 
Sema hujamuelewa tu,ila tambua hiyo ndo style yake ya uandishi na ndomaana kwa style hyohyo amewavutia clients uliowataja wa kufanya nae kazi.

Style hii anayo pia jamaa flan anajiita ujugu, nae pia kuna watu amewavutia na analipwa kwa kazi hyo,wewe endeleaga tu na ushabiki maandazi kushabikia shabikia hz club jasho linakutoka na hupewi chochote, wenzio wanalipwa heraaa.

Watu sshv wanataka wanataka vitu vya tofauti na sio mazoea kushangilia shanglia tu bila heraaa,mpira ni heraaa chaliianguu.
 
Sema hujamuelewa tu,ila tambua hiyo ndo style yake ya uandishi na ndomaana kwa style hyohyo amewavutia clients uliowataja wa kufanya nae kazi...
Wewe kwa mtazamo wako yupo sahihi?

Kuchafua brand huku akitumia na mwanya huo kujipatia ugali?

Na hili haliwezi kuja kumletea shida baadae?

Tumsaidie kuliko kumshangilia,muda bado upo.
 
Kwa Oscar Oscar ni swala la muda tu kabla hajaanza kushushiwa credibility yake

Now ajifunze kutokana na makosa ya wenzake Coz na hata hizo deals atazikosa pia

Jemedari saidi alikuwa kila siku nikuwasagia kunguni Yanga, wakamchoka na viongozi wa Yanga wakamtolea uvivu na leo hii wachezaji watano aliokuwa akiwa manage wamesitisha mkataba nae akiwemo metacha Mnata na Farid mussa
 
Hapo brand ameichafuaje?
Wewe kwa mtazamo wako yupo sahihi?

Kuchafua brand huku akitumia na mwanya huo kujipatia ugali?

Na hili haliwezi kuja kumletea shida baadae?

Tumsaidie kuliko kumshangilia,muda bado upo.
 
Huyo Jamaa mbona ni Utopolo mzuri.....! alitemeshwa mzigo Azam Media baada Kuleta Utopolo wake akiwa Mwajiriwa Wa Azam.
Nilishangaa eti naye anataka Uraisi Wa TFF kwa akili ndogo anazozionyesha Kwenye Posts zake
 
Back
Top Bottom