Kunani tanga kwenye soka?

Kamongo

JF-Expert Member
Mar 20, 2009
1,956
2,072
napenda kuchukua fursa hii kuwauliza wakazi wa tanga kulikoni soka mkoani hapo limepota kabisa kilikuwa na timu za kutisha kama hizi

COASTAL UNION

1.HAMISI MAKENE
2.SAID KORONGO
3.DOGLAS MUHANI
4.JOSEPH LAZARO
5.YASINI NAPILI
6.KASSA MUSSA
7.MOHAMEDI KAMPIRA
8.ALLY MAUMBA
9.JUMA MGUNDA
10.HUSSEIN MAKURUZO
11.RAZACK YUSUPH

AFRICAN SPORTS
1.DANCUN MWAMBA/SALIMU WAZIRI
2.FRANCIS MANDOZA
3.BAKARI TUTU
4.HASSAN BANDA
5.MHANDO MDEVE (C) FATHER
6.RAPHAEL JOHN
7.ABBAS MCHEMBA
8.TWAHA OMARI
9.VICTOR MKANWA
10.MCHUNGA BAKARI
11.JUMA BURHANI(KAKOKO)

RESERVE
1.ALLY MTUMWA
2.DONALD SEMKIWA
3.OMARI SELEMANI(MWARABU)
4.MARTIN MAHIMBO
5.DADI PHARESS
6.HAMZA MANENO
7.MWARAMI MGUMBA
8.ABDUL

KOCHA
1.SILSAID MZIRAY
2.ABDALLAH MABUDAH
 
Tanga mambo ya kule ktk sports yaani yameshuka sasa: sijui sababu!

Coast walikuwa wakali mno in aerly 1990's! Hivi African Sports bado wapo?

Unajua baada ya kufa kwa viwanda na mpira basi nao ulikufa!

Mnakumbuka zamani watu walikuwa wanatoka Dar kutafuta kazi viwandani Tanga?
 
6.Kassa Mussa-mtu wa kwetu ujiji alianzia soka lake nyumbani pale uwanja wa Kawawa...kisha kuwa tishio huko ugenini....mara ya mwisho kumsikia ni kwenye hisabati za michezo ya Efm.
 
Back
Top Bottom