Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

"Imekuwa kawaida yenu kuongea, hata kwa Miquissone mlisema ameshindwa kucheza Afrika Kusini haya leo hii yuko wapi, tumefanya Scout ya kutosha, huyu Duncan Nyoni ni kama lidude hivi la kutisha...
31 Reactions
40 Replies
5K Views
Sikukubaliana na wewe katika mambo haya. 1. Kuwagawa wachezaji katika makundi mawili yaani hawa ni wa benchi la kudumu na wengine wanacheza mechi zote bila mapumziko na hovyo kuwafanya wachezaji...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
1. Meneja Patrick Rweymamu 2. Mratibu Abbas 3. Kipa Aishi Manula 4. Beki Shomary Kapombe 5. Beki Pascal Wawa 6. Nahodha John Boko 7. Kocha Selemani Matola Ninaotaka wabakie tu katika Benchi...
15 Reactions
80 Replies
8K Views
Jamani kila siku tunawaomba hayo mazoezi nendeni hata gymkhana au zungusheni fensi ya mabati kule Bunju hamtaki eti nyie viongozi ni wazungu Utopolo mwaka huu wamesema liwalo na liwe lazima...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Naombeni mnijuze vigezo vya kusomea ukocha wa mpira wa miguu hasa wa watoto (5-17) kwa hapa Tanzania. Mimi nipo Kibaha kwa sasa. Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hawa wafadhili wa timu wako kibiashara zaidi so wanaangalia mambo mengi lakini lililo kuu ni faida. Wakati huu wa Covid-19 soka linaingiza hasara na mwekezaji hayuko kwa ajili ya SIFA bali yeye...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Tetesi za muda mfupi uliopita Klabu ya Simba imefumua benchi lake lote la Ufundi sambamba na kuwasimamisha baadhi ya wachezaji Inasemekana hatua hizo zimechukuliwa kutokana na madai ya hujuma...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Ni kwamba hapa Simba mwendo wameumaliza. Ni wazi CAF hawataki kuiona Simba mwaka huu kwenye makundi.😄😄😜😜🏃🏃
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Naziona Simba na Yanga kuto kufika hatua ya makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika msimu huu. Uzi tayari, kama una bisha sawa.
9 Reactions
96 Replies
10K Views
Wale wenzangu Wazee wa Kuweka Mzigo, Shughuli za Kumkula Kanji zinaendeleaje? Sasa bana juzi nilikula hela kwenye hii kampuni ya 22 bet nikajaribu kutoa hela imegoma, yaan hela imepungua kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana ilikuwa ni pambano huko Uzbeki kati ya Salim Mtango vs ShohJahon Ergashev ni kituko kijana watu kapigwa ngumi moja kayumba kidogo lakini hajaanguka, refa kavunja pambano kwamba ni knockout...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Taarifa za awali kabisa ni kwamba Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC imemfuta kazi Kocha Mkuu wa Klabu hiyo Didier Gomes Da Rosa kutokana na kushindwa kuisaidia klabu hiyo kufuzu makundi ya...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Chonde chonde wana msimbazi wenzangu, tujiangalie na kujitathmini kwa uwazi, tusiruhusu kugombana, turekebishe na tusonge mbele!! Adui zetu tusiwape faida!! Ila tusifumbie macho udhaifu wa wazi...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba benchi la ufundi limepigwa chini, kama ni kweli ni sawa tu ingawa Hitimana kaonewa Mzungu keshachachawa hajui tena hata kufanya sub na mapenzi binafsi kwa...
10 Reactions
66 Replies
7K Views
Salaam wakuu!! Kuna Jambo nashindwa kulielewa kabisaa kuna huyu mwamba Fraga sijui mkataba uliisha? Au alivunja mkataba!! Lakini nakumbuka alipata tatizo la Goti na simba ikatoa taarifa kwamba...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
As vita a.k.a utopolo de kinshasa wametolewa na ka team kageni cha south africa kwenye kombe la shirikisho kaitwacho Garrants, mechi ya kwanza kapigwa 2-1 huko south africa ,pale kinshasa katoka...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Kuna Jambo linaendelea kwenye mitandao yakijamii kuhusu kupoteza kwa mchezo wa Simba taifa. (kwa mkapa hatoki mtu). Wakuu kwa wanasimba wenye Bongo timamu wanatambua tunapitia...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
KAMA MADUKA yataendelea kupewa nafasi za kujimwamwaya na ma libero kama Wawa wanaokataa kuruka juu wataendelea kuchekewa basi tutarajie maumivu makubwa huko shirikisho sababu hadi sasa kuna...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo baada ya kuona taarifa ya Waiziri Mkuu wa Sudan kuwekwa chini ya Ulinzi nimejikuta na maswali juu ya Biashara United kushindwa kusafiri . Hoja zao wanadai tangia tarehe 16 walishakata tickeck...
0 Reactions
1 Replies
453 Views
Kama Manchester United wanataka kurejea zile enzi za Babu basi wamchukue huyu kocha hatari wa Ajax Huyu jamaa ni zaidi ya Pep kwa tactics, Mpira wa kisasa ili upambane na Chelsea na Liverpool...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom