Katika pitapita zangu kwenye live score nkakutana na mechi za ligi kuu ya Congo league 1.
Nlichokutana nacho naona ni vichekeshi kuliko hata kwenye ligi yetu, kama inavyoonesha hapo katika...
Be Sports wameonyesha utabiri wa Simba kupoteza mechi ya leo.
Najua Yanga wataisapoti analysis hii na Simba fans wataiponda na hii ndio raha ya mpira duniani
*manula.... huyu hata kumuelezea ni ngumu siku akiamua kudaka anadaka kwelikweli siku akiamu kuvurunda kama jana utafurahi mwenyewe kwa huzuni
*Boko .... Huyu naye kama Manula probably hana...
Kesi inayomuhusisha aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Yanga ambaye kwa hivi sasa anakipiga Simba Sc, Bernard Morrison itasikilizwa na kutolewa hukumu leo hii.
Morrison anadai kuwa hakusaini...
Huku ndani namwaga madini mengi sana nilitoa habari ya menina kudai mamiilioni ikapostiwa instagram copy and paste yangu yangu kuna ya biashara kudaiwa kuuza mechi hadi kitenge kapost ingawa...
Kwa kuwa mpira ni kazi mtu anaweza kufanya kazi mahala popote pale kama ambavyo tumejionea hivi karibuni kwa Senzo na Haji Manara.
Huyu jamaa ni msaada mkubwa atawasidia Yanga hadi watashangaa...
Habari wadau
Mimi ni shabiki sana wa soka la bongo.
Nimejaribu kuvuta kumbu kumbu sijapata kabisa mechi za mashindano ya bongo yenye ladha kama za caf champions league.
Jwaneng simpi sifa kwa...
Nimelala nikaota ndoto game ya Simba na yanga imesogezwa mbele na haitachezwa tarehe 11 mwezi 12 Kama ilivyopangwa kwenye ratiba.
Hapo ndio uwa najiuliza tff wanafanyaje kazi zao kwanini...
Laiti haya mambo yangekuwaga na uchunguzi wa kina tungegunduaga mambo ya ajabu sana , sasa the talk of the town huko libya ni kwamba Biashara utd ilihongwa pesa nyingi sana ili watafute kisingizio...
Kiukweli jumapili ilikuwa siku ngumu sana kwangu hasa baada wale makiri kiri kutupiga goli la tatu
Nikasema ngoja nisubiri manyuu ya OLE GUNA SOSHA ndio kabisaaa ikawa maumivu juu ya maumivu...
Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu.
Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa...
Tayari Walibya wameishapata slots ya teams nne kilichobaki ni miujiza kama Simba SC wataingia group stages ya shirikisho na hiyo ina depend kama Pascal wawa ataacha mgomo wake wa kuruka juu mipira...
Inshort kumleta Huyo Hitimana Simba tumerudi nyuma miaka 10.
Kocha ana majungu sana, kule Biashara United timu iliponea chupu chupu kushuka daraja kwa falsafa zake ameondoka leo timu iko...
Kuna uwezekano MSHAMBULIAJI NAMBARI MOJA NA TEGEMO KUU LA SIMBA SC, Chris Mugalu akawa na ugonjwa wa akili nawaambia nyie hata kama ni mgeni hujali kuhusu derby kuwa na uchu basi kama wale vijana...
Wakuu mmebarikiwa na MUNGU WA mbinguni hakuna laana.
Huyu ni mtazamo wangu juu ya baadhi ya wachezaji wa Simba kwenye mechi Ile.
1. Bwalya
Huyu jamaa Kwa Mtazamo wangu NI mchezaji WA kawaida...
Kwa kauli aliyoitoa ni Mo Dewji baada ya simba kufungwa nilijua tu Gomes hawezi kupona
Nakumbuka kabla hajawa muwekezaji simba alitoa kauli kama hiyo Omog ambaye kwa sasa ni kocha wa Mtibwa Sugar...
Wakuu mmebarikiwa sana na mungu wa mbinguni hakuna laana.
Huyu jamaa aitwaye saido ntibanzokiza aliletwa na yanga akitokea huko kwao Burundi baada ya kumaliza kucheza soka Ulaya.
Wakati anakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.