Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mpaka sasa dakika ya 60 keshakula mtu tayari hamsa
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Timu kubwa kama Simba ambayo inafahamika dunia nzima haiwezi kuwa na watu wa hovyo hovyo na duni kama huyu kijana , huyu kwanza ana kashfa zisizo na idadi za kupiga picha za aibu na kuzisokomeza...
1 Reactions
4 Replies
847 Views
Kocha mkuu wa Simba sc Didier Gomes ni wakati muafaka wa kuondoka Simba sc kwani hujaletwa kwa ajili ya kukaa jukwaani na ligi kuu. Gomes na matola ni wakati wa kuondoka Simba, kwani Hana sifa.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mitaaani kuanzia kariakoo Msimbazi hadi mitaa ya huku kwetu huwezi kusikia makelele. WanaSc punguzeni makelele mnaposhinda hasa mkipata kabao komoja.
2 Reactions
6 Replies
625 Views
Mnaweza Kuwalaumu Wachezaji, lakini kwa ubora ule wa wakina Sakho, Kanoute na Banda ni vigumu sana kwa mtu mwenye akili kichwani kutarajia makuu kutoka kwao. Mnaweza kumlaumu kocha lakini kwa...
1 Reactions
2 Replies
932 Views
Mpira ni dakika tisini. Poleni sana Wana Msimbazi ila ninawashauri mtafute kipa. Manula ni mfupi na hawezi mipira kama ile ya leo. Kweli ni masikitiko makubwa.
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Dah mechi ya utopolo alikwasha akambana Djuma Shaban kupanda akatolewa leo tena katoka naona Peter Banda kaboa. Dilunga alimkoseaga nini mzungu. Asee na kwa urukaji ule wa pascal wawa mungu...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Mo kashaichoka Simba ndo maana kuna mambo mengine haangaiki nayo kabisa na aliamua kujitoa kwenye uwenyekiti mapema kabisa hii ikionyesha kashaichoka Simba. Na yupo Simba kwasababu ya kukuza...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanasimba wenzangu, Mpira uko hivyo hivyo kikubwa tukamilishe zoezi la kesho kama tulivyowaahidi Watanzania, muhamasishaji wetu aliahidi kua tukifungwa tutakusanyana tutembee uchi Mwenge hadi...
4 Reactions
15 Replies
889 Views
Ali Mayai na wenzanke wanavaa suti zimewabana na zinaonyesha kushonwa na mafundi ambao hawana viwango kabisa. Azam Tv wanapata pesa nyingi kupitia matangazo ya soka. Kwa nini wasiwanunukie...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Hii ndio hali halisi Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
1 Reactions
11 Replies
939 Views
Mpira huchezwa hadharani na pengo la ile biashara kichaa lilianza kudhihiri muda sasa achililia mbali pengo la Sven. All I can say Is, BYE BYE GOMEZ. Huna credentials za kuwa kocha wa Simba. That...
1 Reactions
2 Replies
488 Views
TFF naona wameanza kuwaandalia Simba viporo visivyo na sababu Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko...
9 Reactions
74 Replies
5K Views
Mpira unachezwa hadharani kila mtu anaona, tunachokiongea kila siku hapa kwenye jukwaa kimeonekana leo, unabahatika kukutana na timu mbovu lakini unashindwa hata kufurukuta unapigwa kipigo cha...
2 Reactions
2 Replies
709 Views
Simba ni kama maji. Ndio team pekee inayotung'aalisha kimataifa. Ninaweka mapendekezo yangu ya formation ya leo. Lengo ni kwamba leo tunataka kufunga mengi.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kikosi cha Mnyama Haya wanaJF ziimebaki dakika chache kuelekea mpambano mkali kati ya Simba Sc na UD Songo. Mtangazaji wako mwandamizi kwa kushirikiana na wadau wote muhimu tunakueletea moja kwa...
9 Reactions
901 Replies
75K Views
Inashangaza kwa kweli. Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu. Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga. Kama ni msanii, wanataka awe...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomben Link ya kuangalia hili pambano wakuu kwa wale wadau wa Heavy weight Boxing Pambano linaanza mda sio mrefu kutoka sasa.
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Nchi ni kama haina waziri wa michezo. Olympics tunapeleka watu watatu. TFF uchaguzi wa kihuni. Simba mwnye asilimia 49 anafanya maamuzi yote. Je, Mo alivyomteua Barbara ilikuwepo. Regulatory...
12 Reactions
32 Replies
3K Views
Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa...
12 Reactions
95 Replies
50K Views
Back
Top Bottom