TAFAKURI NJE YA 18
Taifa Stars wamefungwa kihalali
Wamezidiwa mikakati kama ambavyo Stars waliweza kuwazidi wapinzani mikakati ya kimchezo katika games 3 na kunufaika
Hii ni michuano ya kufuzu...
Kazi iendelee | Soka liendelee,
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka kwa niaba ya CCM na kwaniaba ya Mkt wa CCM Taifa ambae pia Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu...
Mpaka sasa benin 1 madagascar 0 matokeo yakienda hivi ndio basi tena grupo litakuwa hivi
Benin 10
Congo 8
Tanzania 7
Madagacar 1
Mechi za mwisho
Tanzania vs madagasca
Congo vs benin
Sare ya...
Kuna ndugu alituonya Tanzania humu juu ya kuchanganya mchezo wa mpira wa miguu na siasa. Viongozi wetu badala ya kuwekeza kikamilifu kwenye mchezo huu maarufu, wanatafuta cheap political...
Ingawa matokeo ya leo yamenisikitisha sana, ila naona sawa tu tulivyorabuliwa na wakongo.
Maana kama tungeshinda,CHAWA wa term hii ya uongozi wasingechelewa kuja na thread kama ;
RAIS...
Asilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya...
Huyo jamaa ndio mganga wa Yanga licha ya kwamba hatuamini kwenye uchawi ila upo maana sio kwa kukosa magoli vile
La mwisho Yanga mwambie mganga wenu akafukue dawa pale taifa maana tangu aweke...
Hivi kama tu Wachezaji wa Kikongo ambao Kutwa tunawaimba, tunawasifu na Kuwakuza mno akina Yanick Bangala, Fiston Mayele, Ducapel Moloko, Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Herritier Makambo na...
Kuna umuhimu kwa soka letu kuanza kuangalia generation nyingne kwa ajir ya kombe la dunia 2026 hawa akina Boko, Nyoni, Msuva Samata ni 30+ timu yetu ina malijend weng tuanze kuwapunguza,hzo pesa...
Mheshimiwa Waziri mkuu nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Najua wewe ni mdau wa michezo nchini na umejitahidi sana kuhamasisha wananchi waishangilie timu yao.
Ila hapa...
Wadau wa Michezo habari,
Mimi ni Mwanasoka ila Sasa hivi Nimeamua Kuwa nakimbia kama Veteran,
Ni Vema Tukaqekeza Katika Riadha tutafanikiwa sana.
Tutapata Kina Alphonce Simbu Wengi mnooo...
Kwanza nikiri tu mimi shabiki wa simba, jana nimeweka bandiko sijapata jibu lolote nimeambulia matusi ambapo nimeona sio ustaarabu kabsa, jf ipo kwaajili ya msaada sio kukejeliana,
pointi yangu...
Wakuu naomba mnijuze huyu mchambuzi wa soka ambaye ananikosha Sana anapolidadavua soka yuko wapi kwa Sasa.
N muda Sana simsikii pale East Africa radio na kiukwel nilikuwa mdau Sana wa michezo...
Hii ndio Taarifa iliyotangazwa na Club ya Aston Villa muda mfupi uliopita .
Binafsi sikupenda Steve aachane na Rangers Mapema namna hii , kule Scotland ndio mahali kwa kupatia uzoefu , sasa...
Napingana na Engineer kuwa Utopolo inaendeshwa kwa hasara kwani Mo Dewji aliposema Simba inaendeshwa kwa hasara walimtukana wakiongozwa na Msukule wao .. Yanga pamoja na waandishi Mazuzu walimsema...
INAWEZEKANA HATUMFAHAMU KOCHA OLE GUNNAR SOLKJAER . Tarehe 26 mwezi wa pili mwaka 1973 ndio siku rasmi aliyezaliwa Ole Gunnar Solkjaer kule nchini Norway .Maisha yake yote ya utotoni Solkjaer...
Ushindi haupatikana bila mikakati thabiti, ukiwa kama mpenzi na shabiki wa soka je unafikiri kocha wetu aanze na mfumo upi?
1. Mfumo wa 5-4 -1 Kujilinda na kupeleka mashambulizi ya kushitukiza...
Salaam,
Bila kupoteza mda hebu nirukie kwwnye nukta ya msingi, ukifuatilia picha mbalimbali zinazowekwa kwenye mitandao ya kijamii, utaona Simba hawafanyi mazoezi tena Bunju.
Kwa wenye taarifa...
Je, unakubaliana nae? Kwahiyo kwa Kuwataja hawa Watu Wawili kuwa ndiyo wenye Akili Yanga SC anamaanisha kuwa waliobaki Wote ni Mazuzu ( Majuha ) tupu tu au?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.