Yale Mabilion tuwekeze kwenye soka la vijana

Xharp

Member
Sep 13, 2018
25
45
Kuna umuhimu kwa soka letu kuanza kuangalia generation nyingne kwa ajir ya kombe la dunia 2026 hawa akina Boko, Nyoni, Msuva Samata ni 30+ timu yetu ina malijend weng tuanze kuwapunguza,hzo pesa zlzochangishwa ni vema kuangalia namna gan znaweza kuleta maendeleo endelevu ya soka letu
 

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
39,531
2,000
Hizo tayari zishaliwa na hao waliojuu hata kabla mechi haijaanza
 

UP TO DATE

JF-Expert Member
Apr 20, 2021
741
1,000
Watu wanataka wale matunda bila hata kusaidia na kushiriki kupanda Miche au mbegu...
 

nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
14,135
2,000
Kuna umhimu kwa soka letu kuanza kuangalia generation nyingne kwa ajir ya kombe la dunia 2026 hawa akina Boko,Nyoni,Msuva Samata ni 30+ timu yetu ina malijend weng tuanze kuwapunguza,hzo pesa zlzochangishwa ni vema kuangalia namna gan znaweza kuleta maendeleo endelevu ya soka letu
Nashauri ule mzigo tupewe tukapige bia, bia tamu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom