Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Vigogo wa Afrika, Al Ahly wamepoteza mchezo wa nusu fainali ya Klabu Bingwa Dunia kwa kufungwa mabao 2-0 na Palmeiras ya Brazil, usiku wa kuamkia leo. Kwa maana hiyo AL Ahly sasa wanasubiri...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Mwenye taarifa naomba ansaidie il nijiandae nkachek mech kubwa na tam
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Ikiwa imesalia miezi michache kwa kombe la Dunia mwaka 2022 kuanza, leo hii itafanyika Droo ya hatua ya makundi ya michuano hiyo mjini Doha. Droo hiyo itafanyika katika Kituo cha Maonyesho na...
8 Reactions
128 Replies
9K Views
Bondia Hassan Mwakinyo ametoa kauli ambayo ni wazi inaonyesha anarusha ‘dongo’ sehemu. Wale mnaojua someni hapa kisha muone kijembe hiki kinamuhusu nani? “Bongo bwana Boxer unajulikana mikoa 5...
4 Reactions
73 Replies
5K Views
Zimebaki siku chache kabla ya Simba SC kushuka dimbani kuwavaa USGN kutoka Niger katika pambano la kuwania alama tatu muhimu ili kuweza kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Barani...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Imeripotiwa kuwa mashine maalum ya VAR (Video Assistant Referee) iliyokuwa imewekwa Abuja Nigeria kwa ajili ya kusaidia waamuzi wa mchezo wa play off wa kufuzu Kombe la Dunia 2022 kati ya wenyeji...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limeamua mchezo wa mwisho wa Hatua ya Makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika katika ya wenyeji Simba dhidi ya Union Sportive Gendarmerie Nationale (US...
7 Reactions
61 Replies
5K Views
Shirikisho la soka duniani Fifa limeamuru mechi ya marudiano ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Misri na Senegal. Haya yanajiri baada ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) kuwasilisha rufaa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimecheki game ya DRC vs Maroc Nimegundua kongo hatuna centre fowerd mpambanaji kama fiston mayele Hawa akina mbokani na bakambu hili wawe Makali wanaitaji wawe na viungo wazuri ambao watakuwa na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wewe mwenye Chuki na Simba SC na umeshajiandaa Kuwapokea akina Gendamarie tafadhali hakikusha ukienda Uiage kabisa Familia yako na uache Maagizo Ukifa kutokana na Kafara la hali ya Juu...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuelekea mchezo wa Simba dhidi ya USGN ya Niger, Jumapili Aprili 3 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi limesema liko tayari na limejipanga kwa ajili ya kulinda...
0 Reactions
1 Replies
656 Views
Katika michuano ya drafti inayo endelea huko JAVA kitunda sasa ni hatua ya nusu fainali, NDULI vs DOGO SISCO DOGO YASINI vs DOGO ASUMANI Ikumbukwe kua mshindi wa kwanza kujinyakulia laki mbili...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Mashabiki wa Kiduku, Mwambieni bondia wenu sisi hatuchezi na bondia ambaye hajawahi kushinda nje ya Tanzania. Ili awe na sifa za kucheza na Mwakinyo kwanza Kiduku akacheze nje ya nchi ashinde...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Rekodi za Nigeria, Ghana, Cameroon na Senegal zinaeleweka Kombe la Dunia huwa wanatufutia aibu. Je, hawa Waarabu wanarekodi yoyote nzuri? Wakienda World Cup? Wameshawahi kuvuka hata makundi? Kwa...
8 Reactions
132 Replies
8K Views
HATA SIKU 100 BADO LAKINI KASHAMFUNIKA YULE Tuongee TU UKWELI huyu Mwamba Ahmed Ally_ ameupiga mwingi sana ndani ya muda mfupi miezi mitatu tu. Amewaunganisha mashabiki wa Simba kuwa kitu...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Ikiwa ndani ya mechi mbili ngumu ambazo taifa stars wamecheza moja dhid ya central Africa republic ambayo taifa stars tulishinda bila uwepo wa wachezaji wa Simba Mechi ngumu nyingine ni ya Jana...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
GHANA YAFUZU WORLD CUP 2022 Timu ya taifa ya Ghana imefanikiwa kufuzu kwenda kucheza World Cup 2022 licha ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi Nigeria katika kipute kilichopigwa Nchini Nigeria...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Hii ni tahadhari kwa wote wanaobeti 22bet hawa jamaa ikitokea umedeposit pesa yako na ikaingia kwao ila ikawa haijaingia kwenye akaunti hiyo pesa sahau kuipata kuna watu wamepoteza pesa zao nyingi...
5 Reactions
24 Replies
6K Views
Hivi ndivyo misimamo ilivyo hadi kufikia leo Jumatano Machi 30, 2022 katika Ligi mbalimbali ambazo ni Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza 'Championiship', Ligi Kuu ya Zanzibar na Ligi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika kujiimarisha kuelekea kwenye michuano ya NANE BORA (TOP 8) ya Ligi Daraja la Pili (First League - FL) itakayofanyikia jijini Mwanza kuanzia tarehe 15 Aprili 2022, Timu ya Tunduru Korosho FC...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…