George Mpole jifunze kwa Adam Salamba

Tango73

JF-Expert Member
Dec 14, 2008
2,128
1,225
George upo bawna mdogo!

Kwa sasa Simba na Yanga sio vilabu vya kujiunga navyo ukiwa tayari umukata kuchezea timu ya taifa.

Salamba Adam kamaliza kipaji chake cha Goal getter baada ya kujiunga na mkeka wa Simba. Yusuph Mhilu kaua mpira wake baada kujiunga na mkeka wa Simba.

Nasema mkeka wa Simba maana unawekwa mkekani ligi nzima ukipangwa ujue hiyo ni mechi ya hisani tuu!

Angalia kijana Denis aliyejiunga na Yanga akitokea Biashara Musoma. kakalia mkeka wa yanga mpaka anakiua kipaji chake tartibu!

George wewe chezea Geita Gold hata kama utaishia kula ugali kwa harufu ya kiatu lakini ujiko wako wa kuukata upo taifa stars na huko ndo Real Madrid na PSG watakako kufuata.

Please keep my words George or else you will fall for everything! Mtaka yote kwa pupa hukosa yote kwa pupa!
 
Shida iliyopo ni kuaminiwa, wote ulio wataja walisajiliwa wakiwa kama namba Tisa au namba kumi uko walipotoka.
Wachezaji ao walipofika katika timu kubwa awakuaminiwa kucheza katika nafasi izo walichezeshwa ma winga. Ndio kinachokwenda kutokea ata Kwa Mpole, hatacheza katika nafasi yake ya asili, atapelekwa pembeni.
 
jorge ! upo bawna mdogo! kwa sasa Simba na Yanga sio vilabu vya kujiunga navyo ukiwa tayari umukata kuchezea timu ya taifa . Salamba Adam kamaliza kipaji chake cha Goal getter baada ya kujiunga na mkeka wa simba. Yusuph mhilu kaua mpira wake baada kujiunga na mkeka wa simba. nasema mkeka wa simba maana unawekwa mkekani ligi nzima ukipangwa ujue hiyo ni mechi ya hisani tuu!
angalia kijana denis aliyejiunga na Yanga akitokea Biashara musoma. kakalia mkeka wa yanga mpaka anakiua kipaji chake tartibu!

george wewe chezea geita gold hata kama utaishia kula ugali kwa harufu ya kiatu lakini ujiko wako wa kuukata upo taifa stars na huko ndo real mabrid na PSG watakako kufuata. please keep my words jorge or else you will fall for everything! mtaka yote kwa pupa hukosa yote kwa pupa!
Kumbuka hayo maisha yake anahitaji fedha
 
wakati huo wewe ukwenye kiyoyozi...
 
kila mchezaji ndoto zake sio kucheza timu kubwa tu bali pia kazi yake ya mpira imuingizie fedha nyingi na hpo ndipo unakuj kukuta mchezaji yup radhi aende timu flani akakae benchi lkni account bank iwe inasoma..

muhimu hao geita gold wamboreshee mkataba wake tu!
 
George upo bawna mdogo!

Kwa sasa Simba na Yanga sio vilabu vya kujiunga navyo ukiwa tayari umukata kuchezea timu ya taifa.

Salamba Adam kamaliza kipaji chake cha Goal getter baada ya kujiunga na mkeka wa Simba. Yusuph Mhilu kaua mpira wake baada kujiunga na mkeka wa Simba.

Nasema mkeka wa Simba maana unawekwa mkekani ligi nzima ukipangwa ujue hiyo ni mechi ya hisani tuu!

Angalia kijana Denis aliyejiunga na Yanga akitokea Biashara Musoma. kakalia mkeka wa yanga mpaka anakiua kipaji chake tartibu!

George wewe chezea Geita Gold hata kama utaishia kula ugali kwa harufu ya kiatu lakini ujiko wako wa kuukata upo taifa stars na huko ndo Real Madrid na PSG watakako kufuata.

Please keep my words George or else you will fall for everything! Mtaka yote kwa pupa hukosa yote kwa pupa!
Mfano wako kwa Denis Nkane wa Yanga hauna uhalisia. Ni mechi ya mwisho tu hapa dhidi ya Mtibwa, ameingia kipindi cha pili na kuipatia timu yake goli la ushindi.

Kwa Adam Salamba, nakubaliana na wewe. Baada ya kutoka Lipuli na kujiunga simba kwa mbwembwe, na kipaji chake kiliishia pale pale.

Yanga kuna wachezaji wazawa kibao tu waliosajiliwa msimu uliopita, na sasa wanacheza kikosi cha kwanza! Hivyo bidii, kujituma na nidhamu ya mchezaji, humletea mafanikio ndani na nje ya uwanja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom