Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Cristiano Ronaldo ameomba kuondoka ndani ya Manchester United ikiwa ni msimu mmoja tu tangu arejee kikosini hapo, ambapo inadaiwa lengo lake ni kuendelea kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Chukueni notes coastal union .mipira yote mpeni abdul sopu .basi ni hivyo tu Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
6 Replies
927 Views
Haya mambo ya watu kuheshimiana na kupendana hivi huwezi kuyakuta kwa makolo, manara wakati anayapigania makolo na kupiga marufuku washabiki wa yanga kuingia uwanjani mechi ya CAF Barbra alitoa...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Hii Tweet jamaa iliipost baada ya goal la 3 la Coast Union Je ALIJUAJE au ni mwanakamati wa Yanga? Au ana mapepo? Au ndo amekwiva Sana kwenye uchambuzi? Njoo utuambie mwana Jamii
7 Reactions
40 Replies
4K Views
Nilifatilia kwa umakini sana uchezaji wa Mayele. Kila baada ya kufunga goli mara kadhaa alijivunja ili kumpa nafasi mkongo mwenzaje Makambo acheze. Kuna mechi nyingi tu angeweza kufunga goli...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
YA CRISTIANO RONALDO NA MANCHESTER UNITED,NA UFUMBUZI KATIKA FUMBO LILILO GUMU.[emoji3576] kalamu ya Nasri Kulemba [emoji3578] Kile alichosema Cristiano Ronaldo dhidi ya waajiliwa wake...
1 Reactions
1 Replies
737 Views
Mkiiangalia timu inayokwenda kucheza kimataifa mzungumzie yanga hii ya leo. Hakuna ushindi bila kuhonga.
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Kama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu N ushauri tu...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Kama ulidhani Simba ni paka basi andika umeumia, Simba imefanikiwa kumbakisha Morrison ambaye alikuwa tayari amesainishwa mkataba Leo na yanga, kikao kilichofanyika usiku wa Leo na kumalizika...
4 Reactions
71 Replies
6K Views
Leo utopolo wamekuingiza kwenye vitabu vya kumbukumbu, jina lako litaendelea kutajwa kama miongoni mwa wachezaji waliowahi kuwafunga Yanga SC hat trick. Tena, hat trick yako ni nzito zaidi kwa...
14 Reactions
33 Replies
2K Views
Niwape pongezi wanajangwani. Ila kwa jicho langu binafsi la tatu hii timu sio bora kivile. Kwa mfano ikienda kushiriki LigiKUU nchini Uingereza almaarufu kama English Premier League, basi kwa...
2 Reactions
6 Replies
612 Views
Huyu CEO wetu ambaye hajui mgawanyo wa madaraka kila kitu anataka afanye yeye siku ikitokea tukabeba ubingwa akiwa bado CEO basi nimekaa pale mje mniite mbwa Mpira wa Bongo hauchezwi uwanjani...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Bodi ya ligi, sikieni kilio cha watanzania, kumweka Bangala, Inonga na Mayele kuwania uchezaji bora ni kukosa weledi, mnaonekana nyie sio watu wa mpira, mpira wa miguu na hata ngumi ni mchezo wa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama nilivyo waeleza hapo awali. Ni aidha aondoke Barbara Gonzalenz au Bernard Morrison. Hawa mafahali wawili wameshindwa ishi zizi moja. Kaeni tayari Bernard ataendelea kucheza LIGIKUU Msimu...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Simba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya...
2 Reactions
11 Replies
853 Views
Nimekuwa mdau wa Vitasa LIVE baada ya Azam TV kuonyesha mchezo huo ubabaishaji umekuwa mkubwa, mabondia wanaoletwa ni wabovu na majaji wamekuwa wakipendelea mabondia wetu wanapopigwa. Ushauri...
4 Reactions
7 Replies
666 Views
Mods mpo wapi.. _Timu haina mfungaji bora _Timu haijachukua ubingwa _Timu haina kocha wa kueleweka _Timu haina si ii o _Timu imetuingiza hasara kucheza mechi za nyingi bila faida..tanesco...
4 Reactions
20 Replies
906 Views
Nimesikia interview ya Morrison nimesikitishwa sana hasa baada ya kusikia kuwa huenda huyu mwanamke ana chuki naye. Lazima ifike mahali tuone hatari ya kiongozi kuleta chuki za kike. Kama umewahi...
7 Reactions
71 Replies
3K Views
Wengi tumekuwa tukishangilia Fiston Mayele. Pale anapofunga tumekuwa wepesi kuiga namna yake ya kipekee ya ushanhiliaji. Hata wale wa upande wa pili nasikia walikuwa wakitetema kisiri huko...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Kuanzia sasa nimeshastaafu rasmi Kuzishangilia Klabu ambazo huwa zinacheza na Yanga SC kwani naona zinaiumiza tu Moyo na Kunikera zaidi kwani hazichezi vile nitakavyo hivyo sasa natangaza rasmi...
10 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom