Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Nimeangalia Fainali Kombe la Dunia ya Mwaka 1990 iliyofanyika Ujerumani, kwa kweli naona Wajerumani walibebwa na refa, kadi 2 za nyekundu na Maradona kupewa kadi ya njano, ile penati duh
Mbeleko kumbe ilianza kitambo eheee.Nimeangalia Fainali Kombe la Dunia ya Mwaka 1990 iliyofanyika Ujerumani, kwa kweli naona Wajerumani walibebwa na refa, kadi 2 za nyekundu na Maradona kupewa kadi ya njano, ile penati duh