Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Malacia said: “It’s an incredible feeling to have joined Manchester United. This is a new chapter for me, a new league with new team-mates and a tremendous manager [Erik ten Hag] leading us. “I...
2 Reactions
0 Replies
654 Views
Nikiwa nasema Mashabiki wa Yanga SC mna Matatizo mengi Ubongoni mwenu msiwe mnakasirika. Mlisema Haji Manara hakutukana na wala hakutenda Kosa na mkapa Kiburi kuwa mtamtafutia Malori Saba ya...
2 Reactions
2 Replies
840 Views
Kufuatia mfululizo wa matukio yake ya kupishana maneno na watu wanahabari, wadau wa soka mbalimbali, sasa ni vyema TFF ikampeleka jela ya kabumbu Bw.Haji, Na hata CAF nao wanapaswa wawazuie...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka nchini humo Fecafoot limesema wachezaji 44 kutoka katika vilabu 8 nchini humo wanachunguzwa kwa tuhuma za kughushi umri wao au utambulisho wao. Iwapo watapatikana na hatia...
1 Reactions
2 Replies
888 Views
Kwenu Wabobezi wa Marketing hivi Kupunguza Bei ya Bidhaa ili Uuze nyingi na Utambe kwa Watu ndiyo Mafanikio Kibiashara au Mafanikio zaidi ni Kuuza kwa Bei ya Juu hata kama utauza Chache ile...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Ya Kwanza...... Inawahusu CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez na Rais ajaye wa Yanga SC Injinia Hersi Said. Ya Pili....... Inawahusu Mwekezaji Mo Dewji na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez. Ya...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Hakika hii ni pumzi ya moto wanayohemewa Simba. Mwenye Nguvu mpishe tu. Walianza na Azizi Ki kwa ofa ya kibahili wakapigwa kanzu na Yanga kwenye kitita. Walitaka kumkomoa Morrison kwa...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Inaelezwa kuwa Bernard Morrison anaomba release letter kwa Simba, lakini Simba hawana presha wanataka mpaka mkataba wake utamatike kisha wamkabidhi barua. Inasemekana kuna muda aliwaambia kuna...
15 Reactions
260 Replies
17K Views
BUGGATI AKIGUSWA NI YANGA IMEGUSWA. Na Thadei Ole Mushi. Hima hima wanayanga wote Duniani, Ukiachana na Magoli anayofunga Mayele uwanjani, ukiachana na ubora wa kina Feisal, Ukiachana na Mpunga...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Niwape pongezi wanajangwani. Ila kwa jicho langu binafsi la tatu hii timu sio bora kivile. Kwa mfano ikienda kushiriki LigiKUU nchini Uingereza almaarufu kama English Premier League, basi kwa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Picha linaanza jana habari zilitoka kwamba fainali ya super cup kati ya berkane na wydad itafanyika dar es salaam lakini baada ya CAF kupata habari kwamba kipenzi cha wapenda soka afrika kinataka...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Salaam Wana JF Hatimye bado wakimataifa (YANGA) wameendelea ku make headlines duniani kwenye vyombo vya habari na mitandao duniani baada ya kuwapongeza mabingwa wa kombe la ligue kuu ngumu kuwahi...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwenye page imyao ya nstagram, Asec mimosas wamemshukuru Ki Aziz kwa kupindi alichohudumu na mafanikio waliyopata na pia wamemuaga. Next....
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Msemaji wa Simba amempongeza Benard Morisson kwa kupata kandarasi mpya na kusema hakuna shida. Ahmed Ally amemshukuru Morisson kwa kutumikia Simba kwa miaka miwili na kudai hamna haja ya janja...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Aisee kweli Yanga walimiss kushinda makombe, huwezi amini kwa lile shangwe lao kombe la Shirikisho la Azam tayari limeshakatika. Wacha niselete maneno mengi tazama hapa chini.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwezi wa nane mwakani mgeni anakuja mgeni ambaye wenzetu Ulaya wamemkataa lakini kama kawaida ya wazungu wakaamua kumleta Afrika na kama kawaida yetu tunamkumbatia bila kujali madhara yake kwa...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Rejea heading hapo juu. Huyu mnayemuita WAKILI MSOMI aliwatungua Makolo. Lkn hakuwahi kufanya hivyo kwa Yanga. Kama ni kweli amerejea Jangwani, there's high likelihood ataondoka Tanzania bila...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kiungo mshambuliaji Christian Eriksen amekubali kujiunga na Manchester United na anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu. Kocha wa United, Erik ten Hag alimuona kwa ukaribu mchezaji huyo...
1 Reactions
0 Replies
873 Views
Cristiano Ronaldo ameshindwa kuripoti katika mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya katika timu yake ya Manchester United ikitajwa kuwa ana matatizo ya kifamilia Ratiba ilimtaka Ronaldo kurejea leo...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Back
Top Bottom