Tanzania hujinasibu kama taifa linalohusudu zaidi mpira na la viwango vya juu vya mpira Africa Mashariki, ajabu ni kwamba mahudhurio katika viwanjani katika CHAN ni haba sana na tunazidiwa hadi...
Bw Magori, nakupongeza mnoo kuwa mwenyekiti wa bodi ndani ya klabu yetu, Aidha kuondolewa kwa Try Again kumenifurahisha mnoo, kurudishwa kwa Barbra na Swedi Nkwabi nimefurahi pia.
Ombi
Nakuomba...
Mm kila cku asbh lazima nile karanga mbichi na tena nimehamasika mno baada ya semaji la Yanga kutaka kichwa, nakula karanga mbichi atar kWa ajili ya kusafisha kichwa, tena Magori ndio mwenyekiti...
That is it.
I'm writing this because Today The true footballer has added another trophy on his cupboard.
That man who is currently playing Al Nassr, He's not deserving to be true GOAT. The guy...
Kikosi hiki cha zamani cha Simba SC kimeacha kumbukumbu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Wengi walitoa burudani uwanjani na kutengeneza historia ya klabu.
Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye...
Rais na Mwekezaji wa Simba SC ametangaza mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya klabu hiyo, akibaki na nafasi yake ya Rais lakini akikabidhi Uenyekiti wa Bodi kwa kiongozi mpya kutokana na...
Nimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba
Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio...
Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo...
Yamesikika maneno mengi na kejeli nyingi.
Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba...
Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa aรฑaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA?
SO kuna jezi ya...
Ni ujinga umekubuhu kwa sasa.wanawake wengi wanapenda kubanangwa. Yaani mtu unataka umheshimu anakuambia au nikupe na huuu.. .unibanange ndo utaridhika. Huku akioneshea kwa nyuma.
Mara ya kwanza...
Mimi ni mshabiki wa Brentford na Liverpool damu msimu huu tunaenda kuchukua epl Kwa wote msioamini haya maneno tukutane may ndio mtaamini the bees au the reds ni mabingwa 2025/ 26 tutawatoa...
Sasa ni wazi Refa Kayombo kajilaza njaa mwenyewe na kawaponza wenzake wafe njaa.
Acha hawa wapumbavu wafe njaa kwa maana wamechagua wenyewe kuacha profeshno yao na kuukumbatia unazi.
Kwa mara ya...
Tazama namna nyuki walivyovuruga Mchezo kati ya City FC Abuja kutoka Nigeria na JKU FC ya Zanzibar ulisimamishwa hapo jana Jumatano baada ya kundi la nyuki kuvamia uwanja; wachezaji na waamuzi...
Ikiwa ni mwanzo kabisa wa msimu mpya wa mashindani mbalimbali ya soka ulimwengu, na baadhi ya mashindano makubwa na maarufu ya mchezo wa soka yakiwa tayari yameisha anza kutimua vumbi rasmi na...
Bei ya kofia ya Mamelody ni randi 330 sawa na 48,000 pesa ya Tanzania na jezi ya Mamelody ni zaidi ya 150,000 tshs. Sababu ya kuuzwa bei mbaya ni kwamba Jezi za mamelody zinatengenezwa na kampuni...
Tunashukuru jezi ni nzuri lakini nna uhakika tarehe 16 Septemba 2025 Yanga watatufunga tena, jana aliyoyaoengea Ali Kamwe mnaweza kuchukulia kirahisi rahisi na kumdharau vile, yule alikuwa anatoa...
Mchekeshaji kupitia maudhui ya MITANDAONI akitumia mpira na staili za cristiano Ronaldo yuko Morocco kwenye maandalizi ya afcon, juzi tu hapa tulikua na chan ila kimyaa KWAKE, chuki na roho mbaya...
Sijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana,
Au niseme ni tamaa ya fedha,
Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa,
Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi.
Kiufupi huyu...