Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kura zipigwe na Sisi Wadau wa Soka au na Makocha au na Wachezaji wa zamani na siyo na Watendaji wa TFF waliokaa hapo Karume na Vitambi vyao kama Mapipa ya SIMTANK ndiyo Wachague / Watuchagulie...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mpira una umbo la duara na miguu ina umbo ambalo kiuhalisia haliendani na kuuchezea mpira. Hii ni sababu muhimu kwa watoto wanaopenda soka kuzoezwa mapema kuuchezea mpira kwa muda mrefu. Kwa...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Nikisema hujui Kufikiri ( Juha ) pamoja na huyo aliyekusindikiza kwa Rais wa TFF Wallace Karia Jana unakasirika / mnakasirika. Nakufundisha kwakuwa huna Akili na pia ndiyo tatizo la wana Yanga SC...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yanick Bangala kiungo fundi wa Yanga usiku huu ametangazwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara 2021/2022 Kwa kutwaa tuzo hiyo Bangala amewashinda mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele...
6 Reactions
32 Replies
6K Views
Muda utaongea,Yanga na Azam tu ndiyo zimeonekana kama vilabu pekee zenye kujiamini katika kujipanga kuelekea msimu mpya wakati vilabu vingine vikipigwa butwaa bila hata kujua wafanye nini...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Salaam Wana JF, Naona wengine wanasherekea ubingwa .....wengine Wana msherekea SOAP ndio magepu haya Acha nirudi kwenye mada: leo katika pita pita zangu mitandaoni especially ule mtandao wetu...
0 Reactions
73 Replies
4K Views
Kushoto nyuma; Makumbi Juma, Lunyamila, Abdallah Burhan, Abdallah Kaburu, Muhidin Sisso, Bakari Malima na Sure Boy. . Chini kushioto; Ally Malilo, Hassa Gordian Mapango & Mohamed Mkweche. ...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna cheap propaganda zinaendelea kutoka kwa wana Simba ila sio kwa Yanga hii,Yanga hakuna gumu hatulijui hakuna gumu hatujalipitia sijui waje ni mishe gani ndio tuwaelewe. Nakumbuka kipindi cha...
1 Reactions
2 Replies
562 Views
Cristiano Ronaldo hatakuwa sehemu ya wachezaji wa kikosi cha Manchester United kinachotarajiwa kusafiri leo Julai 8, 2022 kuelekea Bangkok kwa ajili ya mechi za maandalizi ya msimu mpya, kutokana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Demigod: Mbona suala la Utambulishaji wachezaji wapya lina sua sua. Kipi kinagojwa? Eng Hersi : Acha kuzingua Demigod kwani una haraka gani wewe? Demigod : Amna bhana. Wananchi wanataka kujua...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Yanga msimu huu mpaka mwisho wa msimu Form WWWDWWWDWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWW Goal Difference 103 Points 112 [emoji471] Top Scorers Mayele 61[emoji460] Feisal 46 Saido 43 Moloko 21 Chico 20...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
UNATAKA nikupe maajabu mengine ya Fabrizio Romano? Hakuna maajabu sana. Simu yake inaweza kuwa na namba 2,000 za watu mbalimbali duniani. Lakini kuna namba ‘ameisevu’ kwa jina la Jorge Mendes...
13 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu wa humu hjamiiforums, nina ndugu yangu wa kiume kamaliza degree ana ameingia miaka 23 mwezi huu, Kwa sasa yeye anachotaka ni kuwa refa ila hana a,b,c,d za kazi zikoje...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yaani Klabu kama Berkane FC wamtake na Wewe na Vipesa vyako vya Dhuluma na Ukwepaji Kodi wa Ofisi yako ya Salamander Posta ndiyo umpate? Jiandae Kuumbuka tu Kudadadeki!!!!
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Yes twende na Caamil/Hersi Said huyu jamaa typical ni MwanaYanga kindakindaki uzuri wa jamaa hana longolongo akisema amesema inaonekana mwamba hana tamaa ya fedha kama wale wengine jamaa ana...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Umeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC...
5 Reactions
62 Replies
4K Views
Ukilifanikisha hili ( likiwa kweli ) naenda Kukusaidia Haja Kubwa Getini Lugalo Barracks Mchana Kweupe mbele ya MP's akina Lydia, Mwita na Clement.
3 Reactions
7 Replies
954 Views
Tukisema tunaonekana wabaya au tuna chuki, mgombea ameenda kuomba kura akiwa na kombe la ubingwa. Kwahiyo Klabu imetoa authorization kwamba huyu ndiyo Rais na sio mgombea. Kama hivyo ndivyo...
12 Reactions
45 Replies
2K Views
Simba haionyeshi ukomavu kwenye soka hata baada ya kufikisha miaka zaidi ya 80 tangu kuanzishwa kwake. Kila mtu waliwasikia viongozi wa Simba wakimuaga na kumtakia kheri Morrison huko aendako...
6 Reactions
113 Replies
7K Views
Barbra Banda ameondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) baada ya kufeli vipimo vya “kustahiki jinsia” kutokana na kiwango chake cha homoni za testosteroni kuwa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom