Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kila mara linapokuja Tamasha la Wananchi yeye anakuwa na kazi ya kuhamasisha tu watu kufika Uwanjani lakini Siku ya Tukio msemaji Mkuu anakuwa Chaguo la Tajiri Haji Manara. Mwaka huu aliahidi...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Tangu lini Fadlu akawa nahodha wa Simba. 😂😂
6 Reactions
6 Replies
476 Views
Mkali wa Ufilipino Manny Pacquiao amepigiwa kura nyingi zaidi kama bondia bora katika karne ya 21 mbele ya mpinzani wake Floyd Mayweather. Mayweather, ambaye mara nyingi hufikiriwa kuwa mmoja wa...
3 Reactions
59 Replies
9K Views
Ikifika saa sita usiku kutakuwa nyuzi zisizopungua 3 za Simba na Yanga. Huwa inashangaza sana🤣 Hebu mtag anayefaa kuanzisha uzi huo ili wengine wapumzike tuu
11 Reactions
42 Replies
1K Views
Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri? Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Dimtry Bivol bondia kutoka Russia hatimaye ameweza kumshinda kwa points, bondia machachari kutoka Mexico Saul Alvarez Canelo katika pambano la raundi 12 lililofanyika Las Vegas. Pambano lilianza...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwenye link tafadhali atuwekee hapa. Hili sio la kukosa
2 Reactions
10 Replies
490 Views
Ndugu zangu kwani nasema uongo? Jibu ni HAPANA. Katika hili tamasha Simba SC imetajwa mara nyingi kuliko hata wenye tamasha lao kuitaja zaidi timu yao. Inasikitisha sana. Soma Pia: Full Time...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Ukiangalia uwanja wa mkwakwani na ukaambiwa umetoka kwenye matengenezo huwezi kubali kwanini Majukwaa ya mashabiki badala ya kuweka viti vya kukunja viko vilevile na hayana paa Pembeni mwa uwanja...
2 Reactions
24 Replies
876 Views
Huu ujinga serikali ikemee. Yanga ni team ya Taifa. Kwa nini watu watumike kuibagaza na kuibananga namna hii? Hili shoga limevaa jersey ya Yanga linfurahia kama ambavyo huwa yanavaa za CCM.
1 Reactions
4 Replies
550 Views
Klabu ya Yanga inatarajia kukipiga dhidi ya Bandari FC kutokea nchini kenya katika uwanja wa Benjamin Mkapa leo Septemba 12, 2025 katika kuadhimisha siku yao ya Mwananchi. Yanga yauza tiketi...
9 Reactions
288 Replies
13K Views
Niliangalia matamasha ya simba day na yanga day ya mwaka huu nikaendelea kushuhudia kitu ambacho nilidhani hakikupaswa kufanyika kutokana na ukubwa wa vilabu hivi kwa sasa na umaarufu wa matamasha...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Full name: Juventus Football Club S.p.A. Nickname(s): [La] Vecchia Signora (The Old Lady) Founded: 1 November 1897 (as Sport Club Juventus) Ground...
11 Reactions
4K Replies
277K Views
Kuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Suala la mashabiki wa Simba kuzomea wakati Rais akitoa salam katika tukio la Simba day Watanzania wameamka hawapo hapa kupumbazwa, watu wanataka haki katika sura mbalimbali Yaani tukio la leo...
21 Reactions
94 Replies
6K Views
Jana, Yanga walitangaza kuwa tiketi 4,000 bado zilikuwepo kuuzwa, jambo ambalo linashangaza kwani si Rais wa Yanga kuuza tiketi 4,000 kwa muda mfupi sana. Leo, tukio limeonekana kama full house...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Waziri wa Ardhi Deogratius J. Ndejembi leo katika kilele cha wiki ya mwananchi katika dimba la Benjamin Mkapa amaekabidhi hati kwa klabu ya Yanga ili waweze kujenga uwanja wao pale Jangwani
2 Reactions
1 Replies
453 Views
Wadau wote wa soka hapa ndo penyewe. Tupia kijembe chako hapa mtani akose amani. Simba au Yanga ni nani kiboko?.
2 Reactions
13 Replies
436 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…