Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yanga wanaongoza kwa goli la freekick ya Djuma Shaban 37' Mayele anafunga goli murua baada ya kupiga chenga mabekibwa Mtibwa Kipindi cha kwanza kimekamilika Yanga wanaongoza magoli 2-0...
4 Reactions
80 Replies
8K Views
Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana Mtibwa walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, kipa ovyo kabisa. Kwa hali hii Simba tujipange kuna...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
The Premier League have announced that all of this weekend's matches have been postponed to honour Queen Elizabeth II following her death at the age of 96 on Thursday. The FA confirmed all...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba mpaka muda huu timu ya soka ya Napoli ya Italia inaongoza kwa bao 4-1 dhidi ya Majogoo wa Jiji huko Mjini Napoli, game inaendelea. Bila shaka hiki ni kipigo...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya kuitazama Game yetu jana tar 11 sept 2022, tukimgaragaza mtu goli nne kwake. Nilifanya analysis yangu nikaona kuna maeneo yanahitaji kuongezwa Nguvu ili tufike mbali kimataifa...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Kila mstari kutoka kushoto kwenda kulia chagua mchezaji mmoja tu. Twende kazi..
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nini manufaa ya hii ligi ya muungano kwa sasa ikiwa Tayari tuna mapinduzi cup inayokutanisha timu za Tanzania bara na visiwani.
0 Reactions
5 Replies
586 Views
September 13, 2022 Kocha mkuu wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Honour Janza ametaja kikosi cha wachezaji 23 kitakachoingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mechi za kirafiki zilizopo kwenye...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Rasmi Kocha JUMA MGUNDA ameidhinishwa na CAF kwahiyo atakaa kwenye benchi la Simba SC hapo kesho. Wakati huo huo Kocha NASRIDINNE MOHAMED NABI amezuiwa na CAF kukaa kwenye benchi kwa kukosa vigezo...
10 Reactions
55 Replies
8K Views
Wanasimba mwezi wa KUMI unakuja. Tufanye nini ili tuweze kuwafunga YANGA msimu huu. TUmechoka sasa kufungwa kila mara. Mikakati iwekwe mapema tuwaue hawa utopolo this is too much. Angekuwepo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nipeni taarifa ni kweli Kisinda leo atakuwepo ama nitetesi zisizo za kweli.
1 Reactions
1 Replies
483 Views
Tanzania tumekuwa tunahangaika kutafuta dawa ya matatizo yetu ya mpira. Uzuri mmoja katika soka letu tuna desturi nzuri ya timu za Simba na Yanga ambapo ni mtaji mzuri sana. Kwenye timu ya taifa...
4 Reactions
10 Replies
950 Views
SIMBA walivyo kaa kimya hatuna kocha wa Viungo, Kocha wa MAkipa je kwa hali hii tutatoboa mwezi oktba kweli tuna game hatari zinakuja mwezi wa KUMI. Me nawashauri VIONGOZI ZRANE kocha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa tuliyoyashuhudia tangu msimu ulioisha hadi kufikia Mpole kutangazwa mfungaji bora pamoja na figisu za hapa na pale na hapa tulipofika leo inatosha sasa kusema Mayele akabidhiwe kiatu chake na...
14 Reactions
21 Replies
2K Views
Soma mwenyewe
12 Reactions
44 Replies
3K Views
Leo kuna mechi kati ya mbeya city na Azam Ndugu zangu washabiki wa Azam njoo hapa tupeane update kuhusu matukio mbali mbali ya hii mechi Azam kwa ubora wetu leo naona tunapiga goal nyingi sana...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Naona baadhi ya wachezaji wameachwa, kama Zimbwe, Mwamnyeto, Abutwarib WA Yanga, Kapombe nk, Je ni sahihi kuwaacha? Au wamewaacha sababu ya kujiandaa na mashindano ya klab zao??
0 Reactions
5 Replies
634 Views
Jana tulianzishiwa mada mahususi ambayo ilikuwa ya KIMKAKATI na vijana wakaiparamia kama ilivyo mwisho wa siku lengo likatimia. Lengo lilikuwa ni kututoa njiani badala ya kujadili mambo ya msingi...
17 Reactions
50 Replies
3K Views
WACHEZAJI WANAOVUTA MKWANJA MREFU YANGA SC: 1.Aziz Ki -Sh 23.2M 2.Morrison -Sh 23.2M 3.Aucho - Sh 16.2M 4.Mayele - Sh 16.2M 5.Diara-Sh 9.2M
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Moja ya sababu ya kuto piga hatua kwenye soka ni, Umasikini na si vinginevyo, West Africa wanafanya vyema kwenye timu za Taifa tu na sio Vilabu na ukiangalia levo ya Vilabu basi Waarabu wanafanya...
1 Reactions
2 Replies
605 Views
Back
Top Bottom