Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mbna sion uz ukianzishwa? Wadau tupen taarifa
1 Reactions
34 Replies
2K Views
1.Tukianza na eneo la beki upande wa kulia Kibwana ni mfupi,vile vile hawezi kupiga krosi na pasi za akili. Siku hizi beki wa pembeni ni mchezaji muhimu sana katika kuandaa mashambulizi. 2.Beki...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
A. Simba SC ya Mgunda? B. Simba SC ya Matola? C. Simba SC ya Wachezaji wa Kufurahia Kuondoka kwa Kocha Maki? D. Simba SC ya Wachezaji Wenyewe kuamua Kuwajibika na Kujitoa kuipigania Jezi?
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndiyo balaa la Jwaneng Galaxy wanajisahaulisha
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Tena aliyewalamba wenzenu keshazoea kunyonya manyonyo yenu. Mbumbumbu nyie
9 Reactions
73 Replies
3K Views
Clatous Chotas Chama. Jamani huyu mchezaji ni muongo, ni muongo sijapata kuona. Muongo sana. Na uongo ni dhambi ambayo katika amri kumi ipo. Usiseme Uongo. . Chama anaweza kukudanganya kuwa...
25 Reactions
31 Replies
4K Views
Hii ni taa ya tahadhari, Big Bullet walifungwa kwao goal mbili kwa bila, lakini haimaanishi ni wabovu. Matokeo yao hayo yalichagizwa pia na uwanja wao wenyewe, siyo mzuri Sana Kama ule wa Mkapa...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwanzia msimu umeanza kuna kosa kubwa la uchaguzi wa wachezaji hasa eneo la kiungo, na beki hivyo kupelekea timu ya Yanga kutokuwa na utulivu pindi wakishambuliwa. Hii Yanga imekuwa tofauti na ya...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wasalaam mazee, Natumai muwazima wa afya tele kabisa na mambo yanakwenda sawa bin sawia. Kipindi anapigana Muhammad Ali mimi sikuwepo lakini sababu ya mambo ya utandawazi uliopo sazi...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Simba wamejaribu kufanya jambo tofauti lakini lisilo na tija. Nadhani ni wakati sahihi wa kufocus kwenye kubuni jezi kali ambazo zitashindana na za @yangasc1935
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Ecuador ipo hatarini kuondolewa katika Kombe la Dunia 2022 kutokana na utata wa nyaraka za mchezaji wao, Byron Castillo, ikiwemo hati ya kusafiria ambapo inadaiwa beki huyo ni raia wa Colombia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nimeangalia kikosi chagu cha Simba na inanisikitisha pale ambapo Hussein anakuwa majeruhi au Kapombe kawa na majeraha mbadala wao hawapo Simba. Tangu wapo Misri pre-season...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya kumshinda Lou Savarese kwa TKO sekunde ya 38 huko Scotland alitoa dongo hili zidi ya mpinzani wake Lennox Lewis: I'm the best ever. I’m the most brutal and most vicious and most...
9 Reactions
34 Replies
4K Views
Gazeti linajieleza.
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Angetile Osia amekuwa mwepesi sana kujifanya mchambuzi anayepinga kila jema la TFF, TFF wakifanya maamuzi yeye bila kuchelewa hujitokeza kuwapinga. Angetile amewahi kuwa mtendaji wa TFF, aidha...
2 Reactions
7 Replies
796 Views
Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Imani Madega kuhusiana na Injinia Hersi kuwania Urais wa Yanga…. Kwa sababu Yanga wengi ni mazuzu, watamshambulia Madega. Madega ana hoja nzito sana.
7 Reactions
48 Replies
4K Views
Mchezo wa UEFA Europa League, Arsenal dhidi ya PSV Eindhoven uliopangwa kuchezwa Septemba 15, 2022 kwenye Uwanja wa Emirates Jijini London umesitishwa. Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) limesema...
1 Reactions
2 Replies
935 Views
Kila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa...
22 Reactions
43 Replies
5K Views
Mara mojamoja tu Simba warushieni vijisenti hawa ndalakyuya, wako sokoni wanajiuza hawana tofauti na wale viumbe wa corner bar mwenye dau kubwa ndiye watamuheshimu na kumnyenyekea, wengi wao...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom