Ni kweli nchi za ulaya zimetuzidi mambo mengi sana ila naamin tunauwezo wa kuboresha miundombinu yetu ya viwanja na ikawa mizuri mfano ukiangalia uwanja wa majaliwa kuuboresha na kuufanya kuwa...
Kama unakumbuka sakata la Oktoba 25, 2023 la kukamatwa Makontena yenye jezi feki za klabu za Simba, Yanga, Azam na Timu ya taifa zilizoingia kimagendo nchini.
Wanahabari walikurupushwa usiku...
Ni bora simba tujikite kwenye mechi za kimataifa hapa Bongo ni Ngumu kutoboa kwa wakati, Utopolo wanashinda kimchongo sana, Ngao iliyopita Kayoko aliwapa hii Arajiga Kawapa, Mechi ya Mwisho ya...
Ukiwa unajiamini bwana, raha sana. Unajua kabisa matokeo yatakayokuwa, unaweza kutamba utakavyo.
Kabla mechi haijaanza, wakati macaptain wa Simba na Yanga, Shomari Kapombe na Dickson Job wakiwa...
"The best way to win is to weaken your opponent(s)". Hii ndio mbinu wanayotumia mataifa makubwa kama Urusi kupambana na maadui zao wakubwa kama Marekani kwa kuwapora majajusi wao Bora.
Mbinu hii...
Kwahiyo Mangungu ndiyo aliwaambia akina Kibu Denis na Nuksi Shomary Kapombe wakose yale Magoli ya wazi na ndiyo pia aliwaambia Mabeki wawe Wazembe katika Kukaba kiumakini hadi Pacome akatufunga...
Baada ya kumtambulisha kwa mbwembe, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga Andre Mtine abwaga manyanga.
Sababu za kuondoka kwake ni uswahili uliopitiliza wa Rais wa klabu hiyo Hersi. Hii ni kutokana...
Moja kwa moja ..
Japo kwa gemu hizi mbili za karibuni hajakua na kiwango cha kuwakosha mashabiki ila nikimuangalia kwa uono wa kiufundi na kiuchambuzi pasi na touch nk zake za kiwango cha Epl...
MICHEZO: Rais wa TFF na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji CAF, Wallace Karia akizungumza wakati wa kufunga Semina ya Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC Makao Makuu ya TFF, Karume, Ilala amesema;
“Msimu huu...
Malalamiko yamegeukia kwa waamuzi kwamba halikuwa goli halali, ila cha kushangaza walilalamika hivyo hivyo awali na mwisho wa siku wakaja waamuzi kutoka Misri na wakaendelea kufungwa kama kawaida...
Naona watu wanafukunyua nyuzi na post zangu za nyuma na kunitag ili kunizodoa. Napenda kuwajulisha kuwa mimi siyo tena mshabiki wa Simba. Nimechukua likizo isiyo na muda maalumu katika mpira wa...
Mchangauo wa zawadi za fedha kwa timu shiriki za Ligi Kuu ya NBC - Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025, ambapo kila timu itapokea zawadi kulingana na nafasi iliyoishika kwenye msimamo wa mwisho...
Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa...
Wakuu nimeambiwa mshahara wa Clement Mzize ni Milioni 40 kwa Mwezi
Ndiye mchezaji ghali zaidi Tanzania?
Hongera Ghalib Said Mohamed (GSM),
Pia Mtangazaji wa Azam TV, Mzinga jana alidokeza...