Huyu jamaa alisajiliwa kimyakimya na hata gharama za ujio wake hazikuwekwa wazi.
Ameonesha kuwa ni winga mwenye makali ya kimataifa. Ana kasi, pasi za upendo, anaona nafasi katikati ya msitu wa...
Amaan na iwe kwenu.
Mechi ya leo kati ya Simba na Yanga imekuja patamu sana. Na wenye faida kubwa na mechi ya leo ni Club Africain ya Tunisia.
Ni patamu kwa sababu Simba imefuzu makundi ya CAFCL...
Habari wadau,
Ni dhahiri kwamba mwalimu wa Manyara FC alitukosesha ushindi jana nyumbani. Kikosi alichokipanga kipindi cha kwanza kilikuwa na uwezo mdogo, baada ya mapumziko alivyofanya...
Usiku wa deni ni mfupi sana
Hayawi hayawi ...?
Hii si mada ya kutabiri mshindi kwakuwa tayari anajulikana[emoji881]...! Hii ni mada ya harakati kuelekea kilele cha Derby hii ninayoweza kusema ni...
Mchezo umemalizika kwa Tanzania kupoteza kwa bao 3-0 dhidi ya Colombia.
Magoli yote tumefungwa mapema sana kipindi cha kwanza na hii inaonyesha Kocha Bakari Shime alivyowaingiza mabinti bila...
T A A R I F A
Bodi ya Azam FC imesitisha mkataba na Denis Lavagne, kama kocha mkuu, kuanzia leo, Oktoba 22, 2022.
Uamuzi huo ni kwa maslahi mapana ya klabu na mustakabali wa mradi wake wa...
Leo Niwape Story Fupi Kuhusiana Na Mimi Na Feisal Salum “FeiToto”.
Nakumbuka Ilikua Mwaka 2016 Wakati Tunaenda Zanzibar Na AzamFc Katika Kombe La Mapinduzi.
Wakati Tupo Njiani Wachezaji Wenzangu...
Yaani kukosekana Haji Manara kwenye mpira ni hasara, yaani utadhani kesho hakuna mechi. Kweli Manara alikuwa na amsha amsha.
Nani kama Manara? TFF mfungulie mtu huyu.
Nimefuatilia kuhusu mechi ya kesho ya Simba na Yanga, nimesikia mechi inatakiwa kuanza saa 11:00 jioni. Najua hata huko nyuma, kuna mechi kadhaa zilianza muda huo ila naona hili ni kosa la...
Kwa wale wanaofatilia Azam TV, kuna mahojiano na mashabiki kuelekea mechi ya Yanga na Simba. Katika mahojiano hayo kuna shabiki mmoja wa Yanga anatamka bila wasiwasi na Azam TV kumuweka hewani...
Bila shaka mtakuwa mmejifunza kwenye mech za kimataifa za CAF, mtakuwa mmeona waamuzi wa kimataifa namna wanavyoamua kwa kufuata sheria, na si kwa kufuata Ushabiki.
Naomba myazingatie yafuatayo...
Niko naangalia mechi ya Tanzania U23 dhidi ya Nigeria. Kwakweli uwanja uko ovyo sana. Nyasi zimenyofoka nyofoka na kurundikana kama vifurushi. Mpira hauchezeki kabisa. Kwa hali ilivyo tutarajie...
Hawa jamaa zetu mpira umeshawashinda, kazi kutumia wazee wacheze nje ya uwanja, watakuja kufa bure. Wewe siyo mchezaji unakuja kuangalia nini?
Hawa utopolo humu ndipo walipowekeza; uchawi...
Huu mchezo wa kukimbilia kwa watoto yatima kutafuta ushindi dhidi ya Simba kesho, sio bure.
Nawasihi viongozi wa Simba, kesho asubuhi na ninyi nendeni mkasaidie yatima, mtanishukuru, wenzenu...
Habari zenu watu wa mpira?
Hii mechi ya Oct. 23 mbona kuna katimu kanatetemeka sana, shida nini? Woga huu unaletwa na nini? Hii wiki kumeanzishwa nyuzi nyingi (karibu 50) za utabiri na ulozi...
Dar es salaam sio mahala salama. Unaweza kukabwa na vibaka hata ukiwa Lupaso aka Kwa Mkap (RIP) .
Unasafairi na silaha ya kujihami maana hata ndani ya uwanja wa mkapa sio salama kabisa. Tujihami...
Mchezo huu ambao huteka hisia za mashabiki wengi wa mpira wa miguu, utakuwa na msisimko mkubwa sana.
Sababu ikiwa ni kila timu kuwa wakati wa kipekee, Yanga akiwa kabeba ubingwa bila kupoteza...