Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kastori karefu lakini katamu, hivi unajua Ferguson alikataa katakata usajili wa Vidic? Sikia hiii..... Moja kati ya mabeki ambao Sir Alex Ferguson alikua anawakubali ni Steve Bruce, hata baada...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanasimbaaaaaaaa, Hii ndio formula inaenda kumfukuzisha kazi Nabi jumapili hii. Kama intensity ya wachezaji wetu ikiwa juu kwa dk 90 mtaona wanavyopoteana! Last game walipoteana Zoran akavuruga...
12 Reactions
51 Replies
3K Views
Kuna hii dhana ambayo inalazimishwa kuingizwa kwenye vichwa vya watu hasa mashabiki wa klabu ya Simba kutoka kwa viongozi wa Simba, ni dhana mfu. Kusema Yanga SC huwa wanaikamia Klabu ya Simba...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
1 ASEC Mimosas 6 10 4 13 2 Manning Rangers 6 9 6 10 3 Raja Casablanca 6 12 7 8 4 Yanga 6 5 19 2 J BI BE PTS 1 ASEC Mimosas 6 10 4 13 2 Manning Rangers 6 9 6 10 3 Raja...
10 Reactions
17 Replies
3K Views
Uamuzi huo umechukuliwa baada ya kupata kipigo cha magoli 3-0 dhidi ya Fulham katika mchezo wa Premier League. Villa imeshinda mechi 2 za EPL kati ya 11 msimu huu, pia ni kati ya timu nne za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Takwimu hazidanganyi, kwa sasa Simba wapo vizuri sana. Mechi 5 walizocheza hadi hivi sasa; ~ Wamefunga magoli 11 ~ Wameruhusu magoli 2 Kimataifa wamecheza za jumla ya mechi 4; ~ Wanefunga magoli...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Huu mpango umekuwa na muitikio hasi sana kutoka kwa mashabiki wa soka nchini Uingereza. Ni kwa nini hatujasikia vurugu au ukinzani kutoka kwa mashabiki wa Laliga hasa Madrid na LaLiga, kana kwamba...
1 Reactions
1 Replies
463 Views
MASHABIKI WA SIMBA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII. Baadhi ya mashabiki wa Simba wameamua kuchangishana FEDHA kwa ajili ya kuimarisha idara ya kiungo na idara ya mshambuliaji. Hayo yametokea Baada ya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Unajua Al Hilal siyo kwamba walikuwa bora zaidi ya Yanga hapana, Yanga walikuwa bora zaidi ya Al Hilal ila walichoshida Al Hilal kwa Yanga ni nini? Ni mbinu za kocha wao tu bila hivyo Al Hilal...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa Ligi kuu ya Tanzania na pia Ligi pendwa duniani yaan Epl....Ila Kuna utofauti wa sheria za pale England na hapa Tanzania hasa pale makocha wanapopewa kadi nyekundu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa! "Za...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Ndugu wanamichezo wenzangu, nimefikiria na kuja na wazo kuhusu timu ya Azam, kama itawezekana basi viongozi wa Azam wafikirie kuinunua timu ya Pan Africa na jina la timu iwe Azam Pan Africa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kilichomkuta Simba, alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele. Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba Simba atamfunga Yanga? Nasemwa hivi Simba kwa sasa haiwezi na haitoweza...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Nimekusikia ukiwa mubashara EFM Sports Headquarters muda mfupi tu uliyopita, ila umeboa kwa kuwa huna amshaamsha na unaongea kiofisi zaidi wakati hadhira yako ni 98% oya oya (masela) tupu tu.
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya kipigo kitakatifu cha bao 3-0 kutoka kwa Fulham, bwana Steve Gerald ametangaza kung'atuka kwenye timu hiyo. Bali haifahamiki chanzo cha yeye kuweka mpira kwapani. Angalizo: Ukiona...
1 Reactions
2 Replies
769 Views
Tukiwa tunaelekea 23/10 "Wazee wa Historia" A.K.A Mabingwa wa Kihistoria naomba niwajuze historia hii! Moses Phiri ambaye nchini Zambia hutambulika kama "Moses of Our Time" na akiwa Tanzania kama...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Viongozi wa Yanga inabidi waelewe tatizo la Yanga si wachezaji, tatizo letu ni benchi la ufundi. Shida kubwa ninayoiona Yanga ni miundo ya timu (structures). Tunapounda mashambulizi muundo...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Simba walipoona wamepigwa walitumia mbinu za kivita kumpa 'frustrations' yule Dejan mpaka yeye mwenyewe akasepa bila kuiingiza timu gharama. Sasa Yanga kwa kule kupigwa 500m za usajili wasikubali...
13 Reactions
39 Replies
3K Views
Utasikia wacheza draft Mtandaoni wanaambiana sijui tucheze oj, oj inachezwaje? Na kwanini wasicheze Copy ya samba au pandu? Bali oj
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Ni wakati wa huyu jamaa kujifikiria zaidi ama andoke United au astaafu, maana hayupo kwenye mipango ya Ten Hag. Kila wakati ni mtu wa kuondoka uwanjani na kwa bahati mbaya timu imeaanza kufanya...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom