Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hii ni Derby kubwa Afrika Mashariki na Kati, na ni Derby ya nne kwa ukubwa barani Afrika, ambapo inakutanisha miamba miwili kutoka Dar es Salaam, mitaa ya Twiga na Jangwani na Msimbazi ambapo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mechi imeanza Kwa Kasi kubwa. Mpaka Sasa DK 14 COL 1-0 TAN. Mechi imeathiriwa na Hali ya hewa, mvua ni kubwa Sana Tangu dakika ya Kwanza.
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru, Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC. Azam ni timu ya kawaida sana, inakuzwa sana na vyombo vya habari kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa...
32 Reactions
59 Replies
3K Views
Wanachojua tu ni kukamia Mbasi, sisi level zetu siyo wao. Sisi tunapambana na wenzetu wa kimataifa. Mbasi ni timu kubwa Afrika, sijui maneno yatakuwa mengi. Kumfunga de () st) - go) siyo kwamba...
1 Reactions
9 Replies
645 Views
Sijaelewa, kwanini Ali Kamwe ahangaishwe na ukimya wa Simba? Nimekuja gundua wakati sisi Yanga tunahangaika sana na hii mechi wenzetu wanaichukulia ni mechi ya kawaida tu. Hawajaamua kuwekeza...
13 Reactions
41 Replies
3K Views
NINAKARIBIA KUJIONDOA Simba kwa MATOKEO mabaya na uzembe mkubwa wa viongozi kamati ya usajili nk. 1. Uhalali wa Kuwepo kwa bilioni20. Una Bilioni 20 unashindwa kusajili. 1. Victoria Adebayor...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru. Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu!
4 Reactions
6 Replies
1K Views
nina jambo nataka fanya kabla sijaondoka Mafia!
1 Reactions
3 Replies
941 Views
SIKU chache baada ya Mwanaspoti kufichua juu ya waamuzi waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuchezesha mchezo wa Kariakoo Derby utakaofanyika April 30, 2022 katika dimba la Benjamin Mkapa saa 11...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna huyu jamaa mnayekuwa naye vyumba vya kubadilishia nguo, ustadh mchawi, kwa ufupi acheni janja janja. Kama mnataka kujipima kweli na Simba kuelekea Kombe la Shirikisho huyo mtu msimtumie...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakuuu. Nimeomba niulize hili swali kwenu wadau. Nilikuwa na ndugu watatu TFF akiwemo katibu mkuu mstaafu. Wawili wametoka amesalia Kuwepo ofisini. Niende Moja kwa Moja kwenye swali, JE...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Nikisikiliza habari za michezo leo alasiri kupitia chombo kimoja kikubwa cha habari nchini. Mtangazaji wa habari (za michezo) akinadi michezo itakayojiri kuanzia leo hadi wikiendi Jumapili...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Jana 20 October 2022 ilichezeka mechi kati ya Manchester United na Tottenham Spurs, mechi za Ligi Kuu ya Uingereza EPL na mechi ikaisha kwa ushindi kwa Manchester United iliondoka na ushindi wa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwamuzi Ramadhan Kayoko ametajwa kuwa Mwamuzi wa Kati atakayechezesha mchezo namba 64 utakaoyakutanisha manguli ya soka la Tanzania Simba SC na Young Africans. Taarifa iliyotolewa katika mitandao...
1 Reactions
4 Replies
508 Views
Na sotoishia hapo niliahidi na sasa natekeleza hata Mechi ya Marudiano Wiki ijayo Dar es Salaam pia nitawasaidia kwa kutoa Siri Kubwa za Kimchezo za Simba SC na mpaka Uchawi Wao wanaoutumia. Na...
14 Reactions
40 Replies
5K Views
Nalazimika kuuliza hili swali kutokana na huu wimbo wa Yanga, kila siku Yanga ni bora, Yanga ni kubwa, wakiingia uwanjani ubora hauonekani. Walikutana na timu yenye ubora Vipers wakapoteana...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Huu ndiyo ukweli, mpira wa Asec Memosa ni mpira wa kasi, siyo wa taratibu. Na wachezaji wengi wa Afrika Magharibi wanacheza mpira wa kasi. Timu pekee kwa Tanzania kwa sasa inayocheza mpira wa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
1. Kuanzia leo Jumanne Timu ikae Mafichoni hasa 2. Wachezaji wanyang'anywe Simu zao 3. Viongozi wapewe Kiapo na walishane Yamini 4. Wachezaji akina Manula, Boko, Tshabalala, Kapombe, Mkude...
13 Reactions
37 Replies
3K Views
Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni...
26 Reactions
153 Replies
9K Views
Kastori karefu lakini katamu, hivi unajua Ferguson alikataa katakata usajili wa Vidic? Sikia hiii..... Moja kati ya mabeki ambao Sir Alex Ferguson alikua anawakubali ni Steve Bruce, hata baada...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom